SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Kutesa kwa zamu.Hata liverpool watu wamefanya sana geto pale mshukuruni klopp kasafisha nyie chini ya 2017 mlikuwa mnaonekana jf!
Kuna tusi nilitaka kukupa ila nimekustai tuMarcelo Bielsa hawezi kufundisha timu mbovu kama Man Utd..
Amekataa kuifundisha Barcelona! Anawezaje kwa hawa Penati FC!
Tatizo lako kubwa wewe ni kutafuta Excuse kupitia timu za wengine, Huwezi kujenga hoja bila kuitaja Manchester city au LiverpoolMan city mwenyewe kala 5 na leicester city ukuta wake uligharimu bei gani mkuu?
Kutesa kwa zamu.
Zamu yenu imeshapita
Subirini miaka 30
Amejibu kimihemko muache aendeleze mihemko.We mwenyewe unaweza kuwa hujui kitu umepost kwa jazba cavan ni mtu muhimu sana hasa unapokuwa na madogo mbele angalia timu zote top striker wote wapo above 28 years pengine utanzania unakuponza kwa ujuaji
Hata Liverpool baada ya 1990 alianza hivyo hivyo mzaha mzaha hadi miaka 30 ikapita. Poleni sana wataniAisee kweli kwa mwendo huu 30 years nimeanza kuiona halina ubish kwa sababu gani usajili unaofanywa unaweza kusema unaziba sehem fulan baadae panatoboka kwa hiyo hamna kusonga mbele mnarudi tena kutafuta bek bek lain ya united imekula hela san
Leo ni Edwood OUT!!!Ed Woodward
Kutesa kwa zamu.
Zamu yenu imeshapita
Subirini miaka 30
Nadhani wewe ni mgeni JF.
Tumekuwa humu toka 2006 enzi wakati JF inaitwa Tanzatl.org
Hata Liverpool baada ya 1990 alianza hivyo hivyo mzaha mzaha hadi miaka 30 ikapita
Hukuwepo 2006 enzi hizooooooooooAngalia nimejiunga lini hapo halafu uje ukoment tena hiii ni acount yangu ya pili ya kwanza 2012
Tatizo lako kubwa wewe ni kutafuta Excuse kupitia timu za wengine, Huwezi kujenga hoja bila kuitaja Manchester city au Liverpool
Hukuwepo 2006 enzi hizoooooooooo