Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Òle kama oleTutaletewa magari ya mkaa kama Cavani
Ngoja nijikwoti tu.Hii timu nilishakata tamaa nayo. Kwa sasa nimejitoa hata kuangalia game zake.
Yale maneno ya karaha kwenye kidanda umiza yanatesa sana mioyo.
Sasa kabla hii timu haijaniua ngoja kwanza niipe likizo fupi.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ole piga kazi (maguful voice)
Si kitasa wenu Bailly yupo ndani ?Usenge kweli hii timu sijawahi kuona beki mbovu kama hii
Hapa kusema ukweli hatuna timu...mm nimepumzika kuangalia hadi siku ole atapoondoka
OT ni geto la AmberuttyOT sasa ni rasmi imehamia Vingunguti machinjioni..
Si kitasa wenu Bailly yupo ndani ?
Lindelof huwa anaficha makosa mengi sana ya Harry Maguire sema mlishaamua kumtwisha mzigo wa lawama tu.
Two 4 errors leading to a goal in 20 minutes angekuwepo Lindelof angeclear hayo makosa.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Yule jamaa anayeweka results named ARV Nafikiri. Mtag atupe matokeo simuoni leo.Just a Reminder... Man United spent £85m for Maguire
Tuwachekeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
OT ni geto la Amberutty
Hii pesa bora hata wangemsajilia LAMINE MOROJust a Reminder... Man United spent £85m for Maguire
Tuwachekeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]