The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Kuangalia co dhambi mkuu na haimaanishi siitazami utd kiongozi.Hawa ndo mashabiki nisiowapendaga,c uamie liva kama vp....hao liva wenyewe wamepitia kipindi kigum kuliko sisi ila wamekomaa na timu yao na walikua wakiiangalia na kujua weaknes zao...msimu ndo unaanza timu nyingi hazipo fit,daah mnaboaaa
Sijawahi acha kuangalia utd kaka ila pia ckuwa naangalia games za liver so baada ya kuangalia mpira wao ndo huwa natumia km kujifariji.Sasa kama umeamua kuangalia game za Liverpool na Bayern umejuaje kuwa tunacheza vibaya ??
Umeona sasa mkuu?Hamna mchezaji mule mkuu.
Darmian kama Ed Woodward sio?
Mimi pia naona hivyoOGS angeweza kumconvert Diogo Dalot kuwa right wing tu akaachana na Dili la Sancho ambalo halitakamilika kwa hizi siku zilizobaki
Sema kwa sababu Ole haoni sababu ya kufanya hivyo akimconvert Dalot kuwa winga upande wa kulia tutakuwa imara sana kuliko kawaida.Mimi pia naona hivyo
Dalot anafaa zaidi kuwa winga
Kiboko ya matozi kafa 4 kwa Hoffeinheim, kuwa na subra wěweHawa ndo mashabiki nisiowapendaga,c uamie liva kama vp....hao liva wenyewe wamepitia kipindi kigum kuliko sisi ila wamekomaa na timu yao na walikua wakiiangalia na kujua weaknes zao...msimu ndo unaanza timu nyingi hazipo fit,daah mnaboaaa
Mbona dalot amechezeshwa winger mara nyingi tuu na OLE.Sema kwa sababu Ole haoni sababu ya kufanya hivyo akimconvert Dalot kuwa winga upande wa kulia tutakuwa imara sana kuliko kawaida.
Tutakuwa na wachezaji wawili wanaoweza kufanya majukumu ya kushambulia na kulinda bila shida.
Mechi 10 ukifungwa moja haiharibu status.Kiboko ya matozi kafa 4 kwa Hoffeinheim, kuwa na subra wěwe
jose mourinho pamoja na jopo la scouting nahisi walitufanyia uhuni kwenye dili la usajili linalomuhusu dalot, kwa ufupi sielewi iliwezekana vipi klabu kubwa kama man utd kukubali kulipa takribani paundi millioni 20 kwa mchezaji aliyecheza takribani mechi 8 tu za mashindano (labda waliona muelekeo mwema kwake kupitia video za play station)Dalot ni mzigo..hamna kitu,,aondolewe kikosini..hata leo ilibidi asicheze maana waliokuwa wanamtaka wanaweza kuahirisha
Well done Brandon,Bailly na Mata
huyo eric anajua mpaka anakera, ila kiungo ole atengeneze matic,van de beek, na bruno huku sub pogba na fredEric bailly naweza kusema ndo beki bora kwa sasa kwa hawa tulionao jamaa anakamua ile mbaya huyu donny van de beek sio mbaya ni mzuri ana macho ya pasi za mwisho sana nadhani ni wakati muafaka aanze tuone bruno anaweza pumzika maana Pogba kwa game anayocheza leo yupo vizuri sana
ila huyu dogo abadilishwe no acheze winger atatusaidia ana cross nzur anambio na anashambulia shida ni kukaba tuDalot ni mzigo..hamna kitu,,aondolewe kikosini..hata leo ilibidi asicheze maana waliokuwa wanamtaka wanaweza kuahirisha
Well done Brandon,Bailly na Mata
hongera sana mkuu huo ndo ukweli shida hajui kukaba ila kocha akimchezesha winger atakua hatarMkuu kiukweli kabisa Dalot humkubali tu lkn dogo ana kipaji na ni mzr kushambulia kuliko Bissaka, anapiga krosi vzr na ni mwepesi, tatizo lake pekee ni kukaba tu ambapo anahitaji mwalimu wa kumkidhi, af mm ningelikuwa kocha Dalot hasingelicheza beki.
Jana juan mata alikuwa anakimbia kushinda huyo dalot wako, pamoja na kwamba mata umri wake umesogea.ila huyu dogo abadilishwe no acheze winger atatusaidia ana cross nzur anambio na anashambulia shida ni kukaba tu
Ole hajakomaa kuwa kocha wa United. Timu inacheza bila muunganiko na mbinu
Kufikiria kumuuza Dolot ni kuingia chaka.Kwanini asiweze dalot mchezaji mzuri sana akipewa game time sasa kocha hamwamini unazani utaionea wapi potential yake ndo mtabaki kusema mineno ya kishabiki kama ivo
jose mourinho pamoja na jopo la scouting nahisi walitufanyia uhuni kwenye dili la usajili linalomuhusu dalot, kwa ufupi sielewi iliwezekana vipi klabu kubwa kama man utd kukubali kulipa takribani paundi millioni 20 kwa mchezaji aliyecheza takribani mechi 8 tu za mashindano (labda waliona muelekeo mwema kwake kupitia video za play station)
huu ni msimu wa tatu tokea asajiliwe lakini bado ameendelea kustruggle na kibaya zaidi ameingia kwenye kundi la wachezaji wenye takwimu mbovu za kiafya (akiungana na jones, tuanzebe na bailly)
performance yake anayoionyesha uwanjani kadri anapopewa nafasi haishawishi ya kwamba siku moja atakuwa ni fullback mwenye quality zote tunazozihitaji ila umri wake (ana miaka 21) unashawishi ya kwamba siku moja anaweza kuwa mchezaji mahiri kama yule tuliyemshuhudia mechi ya PSG.
si jambo rahisi kurudisha gharama tulizotumia kumsajili kutokana na kiwango chake, fitness na pia kuzuka kwa janga la corona kumeliathiri kwa namna fulani soko la fedha kwa baadhi ya timu,
endapo klabu itaamua kumuweka sokoni kwa jumla basi sitochukia,
endapo klabu itaamua kumtoa kwa mkopo wa muda mrefu pia sitochukia (nadhani huu utakuwa ni uamuzi bora zaidi kwa sababu huenda timu atakayokwenda itamfanya apande thamani yake kuliko kuendelea kukaa benchi).