Kwahiyo wewe unataka kuniambia nini kuhusu Dalot?Usiwe shabiki mandazi ndugu yangu mpira hauongelewi ivyo
Amenishangaza ila ni kawaida cz kila mja ana macho yake mfano ARV yy anamuona lingard japo kila akisema hvyo mnapotezea lkn yy na lingard tu, kuna mdau mwengine yy na Lukaku tu yn humwambii kitu so kila mtu na chaguo lake but all in all mpira huwa unachezwa hadharani.Usiwe shabiki mandazi ndugu yangu mpira hauongelewi ivyo
Kwanini asiweze dalot mchezaji mzuri sana akipewa game time sasa kocha hamwamini unazani utaionea wapi potential yake ndo mtabaki kusema mineno ya kishabiki kama ivoKwahiyo wewe unataka kuniambia nini kuhusu Dalot?
Mimi nataka Fullback right atakayeweza kumchallange na kumdisplace AWB ikiwezekana,unadhani Dalot anaweza hilo?
Talk is cheap..eti "shabiki maandazi"
Mkuu kiukweli kabisa Dalot humkubali tu lkn dogo ana kipaji na ni mzr kushambulia kuliko Bissaka, anapiga krosi vzr na ni mwepesi, tatizo lake pekee ni kukaba tu ambapo anahitaji mwalimu wa kumkidhi, af mm ningelikuwa kocha Dalot hasingelicheza beki.
Kwani Magwaya anacheza wapi?Ss Niles wa nn, pale utd atacheza wapi mkuu?
Msione tunayumba tatizo ni mbinu za kimpira na makosa madogo madogo ya wachezaji ambayo yakipata mwalimu mzr yanapotea fasta.
Uyo Niles japo mnasifia anacheza mpk kipa lkn pale utd hachezi hata hyo nafasi ya kipa cz kuna makipa wazuri mnoo.
Huyo kipa namba 1 hapo unyumbuni hapati namba pale Gunners,Alafu ni bonge moja la kipa aisee, tuwape ata Chelsea huyu kipa au Arsenal
Unauliza au?Kwahyo now mko vzr eti?
Najua una hasira za Martinez. 😂Huyo kipa namba 1 hapo unyumbuni hapati namba pale Gunners,
Sasa kama umeamua kuangalia game za Liverpool na Bayern umejuaje kuwa tunacheza vibaya ??Hata ukiangalia mechi ya utd kiukweli haivutii kabisa japo tuna wachezaji wengi wazuri, ni nafuu Arsenal na wachezaji wake wa kuunga unga lkn wanacheza kitimu kuliko utd yenye Lundo la quality players.
Mm cku hz nimeamua kuangalia games za liver mana wananifurahisha sn wale jamaa, Liverpool na Bayern ni kiboko ya matozi huwa nawaangalia sn.
Tutamaliza nae msimu
Mkuu kiukweli kabisa Dalot humkubali tu lkn dogo ana kipaji na ni mzr kushambulia kuliko Bissaka, anapiga krosi vzr na ni mwepesi, tatizo lake pekee ni kukaba tu ambapo anahitaji mwalimu wa kumkidhi, af mm ningelikuwa kocha Dalot hasingelicheza beki.
Kushare mshahara???? No
Hata ukiangalia mechi ya utd kiukweli haivutii kabisa japo tuna wachezaji wengi wazuri, ni nafuu Arsenal na wachezaji wake wa kuunga unga lkn wanacheza kitimu kuliko utd yenye Lundo la quality players.
Mm cku hz nimeamua kuangalia games za liver mana wananifurahisha sn wale jamaa, Liverpool na Bayern ni kiboko ya matozi huwa nawaangalia sn.
Amenishangaza ila ni kawaida cz kila mja ana macho yake mfano ARV yy anamuona lingard japo kila akisema hvyo mnapotezea lkn yy na lingard tu, kuna mdau mwengine yy na Lukaku tu yn humwambii kitu so kila mtu na chaguo lake but all in all mpira huwa unachezwa hadharani.
Kwani Magwaya anacheza wapi?
Huu mtimu uměkuwa kama jumba la makumbusho tu,
OGS angeweza kumconvert Diogo Dalot kuwa right wing tu akaachana na Dili la Sancho ambalo halitakamilika kwa hizi siku zilizobakiMkuu kiukweli kabisa Dalot humkubali tu lkn dogo ana kipaji na ni mzr kushambulia kuliko Bissaka, anapiga krosi vzr na ni mwepesi, tatizo lake pekee ni kukaba tu ambapo anahitaji mwalimu wa kumkidhi, af mm ningelikuwa kocha Dalot hasingelicheza beki.
Nadhani hafiki Xmas.
Hamna mchezaji mule mkuu.★Wewe nae na Muhasimu wako MARTIAL★