Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Eric bailly naweza kusema ndo beki bora kwa sasa kwa hawa tulionao jamaa anakamua ile mbaya huyu donny van de beek sio mbaya ni mzuri ana macho ya pasi za mwisho sana nadhani ni wakati muafaka aanze tuone bruno anaweza pumzika maana Pogba kwa game anayocheza leo yupo vizuri sana
 
SANA POGBA ANAANZA KURUDI, MATA ANA AKILI SANA YA MPIRA, LINGARD NI NOMA SANA HUYU DOGO. NDIO MAANA MOU ANAMTAKA SANA.
 
★Real talk†★
 
Dalot ni mzigo..hamna kitu,,aondolewe kikosini..hata leo ilibidi asicheze maana waliokuwa wanamtaka wanaweza kuahirisha

Well done Brandon,Bailly na Mata
Mkuu kiukweli kabisa Dalot humkubali tu lkn dogo ana kipaji na ni mzr kushambulia kuliko Bissaka, anapiga krosi vzr na ni mwepesi, tatizo lake pekee ni kukaba tu ambapo anahitaji mwalimu wa kumkidhi, af mm ningelikuwa kocha Dalot hasingelicheza beki.
 
Kwa navyoona mimi hamna kitu kipya anachoweza kutuoffer..nilishamfanyia assessment yangu tokea kipindi cha Mourihno'...hakuna haja ya kulundika under-performed players kwenye kikosi chetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…