Umeona enhe, Ole kiwango kidogo kwa United. Kwanza unawezaje mantain Martial uwanjani for 89 minutes? Mapema Rashid alipaswa kucheza central striking role, Debeek anatokea pembeni, life linaendelea. Hawa Wafaransa wetu ni mzigo. Natamani arudi Valensia.Watu wanapiga kelele..ooh tunahitaji straika..straika kama lukaku kwa mpira ule goli zinatokea wapi,pogba hata chance moja hajacreate..timu haiwezi kupiga hata pass kumi kwenye half ya mpinzani..huu si utani?..Tengeneza kwanza system ya uchezaji
Yaani Ole kama hawezi kuimprove viwango vya hawa tulionao hata kuongeza wengine naona atashindwa kuwatumia tu
Timu inacheza kwa morali kwa kipindi fulani tu then kwisha habari..
Thiago Silva ni Magwaya watano. Uyo Fosu hata Yanga hapati namba.
#CFC
Man u kufanya buildup hamuwez ,mkikutana na wahuni wanaokabia juu mtasumbuka sana
Nimekumbuka Lampard baada ya kuwapiga nusu alisema Amegundua udhaifu wenu, Hivo kovasic akawa nikupiga tackle tu, mipira mnapoteza kirahisi
Kama Brighton kawahenyesha hivi vp Everton?
Ninyi munaweza kurudisha goli tatu kama Chelsea? Au ndo mpaka mpate penati[emoji3][emoji3][emoji3]
Angalia mlivyopigwa na crystal Palace, kwa sababu hamkupata penati ndo maana goli hazikurudi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
★una akili Zako timamu kwa usajili mlio fanya TIMO,ZIYECH,KAI,THIAGO na bado unakuja kujitapa kwa DRAW kina wewe kapimwe haupo vizuri [emoji37][emoji40]★
Dalili mbaya hizo huwezi ku struggle kwa Brighton uje upate matokeo kwa LiverpoolMpira haupo hivyo we jamaa
lvg na Mou wote walikuwa top coach, hakuna guarantee yoyote akiondoka ole na kuja kocha mkubwa kwamba atafaulu. so far ole kwangu yupo kwenye right path na ana support yangu, na nipo positive.
Dalili mbaya hizo huwezi ku struggle kwa Brighton uje upate matokeo kwa Liverpool
★Waiting for Manchester United to do something in the transfer window like...★
#GGMU[emoji123][emoji41]
@manutdView attachment 1582326
League yenye team 20 giants sio wengi kuliko teams za average uki struggle huku kwenye points nyingi hata ukiwashinda ma giants haikusaidiiUmeanza kuangalia mpira 2020/2021? Last season united kafungwa na liverool mech moja na arsenal mech moja zote kashinda halafu kapigwa na madogo na droo kibao za madogo nachoweza kukuambia mpira huwa na plan zake usitegemee plan ya brighton akaingia nayo kwa liverpool
Huyo jamaa daa muonee huruma wamesajli nusu ya timu halafu wanafurahia suluhu
Spurs ya pochetino Imefanya Nini ambacho ole Hajafanya? Tusiwe wasahaulifu jamani mechi 1 au mbili zitusahaulishe mema yote.Mkuu kwa wachezaj tulionao wale wanatofaut gan na spurs ya pochetino toka 2016? Huu mwaka wa tatu wa ole hamna hata dalili ya top 4 kwamba tunaweza kuingia timu kama crystal palace ndio za kuchukua point kama unataka kufika juu sasa utachukua point kwa liverpool na manchester city?
Huyu jamaa daaa kapendeza balaa na sura yake ya kitoto
Nikuulize maswali sasa.Lvg alikuwa top coach ila hakupewa right choices, Mo alikuwa top coach ila anafundisha mpira mbovu ni kama zama zake zimeisha hivi, na hata sasa bado anahangaika. Ole ni kikwazo zaidi kwenye ile timu kuliko kina Martial Mana hana uwezo Wa kuboresha na kuongeza kiwango cha mchezaji mzuri. Pia hana uwezo Wa kutumia vema vipaji vya kila mchezaji. Ni average coach kama Jamhuri Kihwelo tu
League yenye team 20 giants sio wengi kuliko teams za average uki struggle huku kwenye points nyingi hata ukiwashinda ma giants haikusaidii
Ile ni takataka umri umemtupa mkonoYule THIAGO SILVA bora hata Fosu Mensah