Ooops hata Henry oops huyu ndio mwenye usukani wa koser fools alichema ... .''what do they smoke at the Emirates'' Chacha ndo nchemaji wa loser fools. kwa hiyo usijali nikivuta nyota .... .. yote msingizieni Prof.
BTW Chelsick na chacha Man Chitty wanawachubiri mjiunge nao kwenye kuwania timu bora kuwa na mameneja wengi, hadi chacha Chelsick wanaongoza kwa kubadili mara 10, Moya ntafukuza baada ya kufungwa mechi ngapi?