The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Lingard ata shine pale tott unajua watu wengi hawajui kwamba utd ni team yny pressure kubwa mno, so average players huwa wanapata tabu sana ku shine hasa kutokana na aina ya makocha tulionao tng aondoke babu.Ila mpira huu bwana we acha tuu! Mourino kumtaka Lingard mwenye goli 1 akiwa na umri wa miaka 27 msimu ulioisha EPL,,,, ila hana mpango na delle alli aliyemaliza na Magoli 8 + 4 assist . Sijui mashabiki wa- Tottenham wanajisikiaje kuletewa kilaza na kuondoa kipanga
Kweli kabisa lkn pia hata Diego Simeone anafaa kuchukua hii kazi.Nimesoma maoni yenu wadau ila kwasasa pamoja na mapungufu ya ed woodward kwanza inapaswa OGS afukuzwe kazi, huyu kashindwa kuwapandisha viwango wachezaji tulionao, hana mbinu mbadala timu inapozidiwa, man utd haitaji world class player kuifunga crystal palace, man utd ni kubwa sana kwa OGS, kwanza hana maamuzi magumu, Last season De Gea kachoma sana kashindwa kumuweka benchi kwasababu ya jina,
Tunaitaji kocha ambaye Pogba au Rashford wakizingua wawekwe benchi, kocha mwenye sauti dressing room
Yule kocha wa Leeds anaitwa Marcelo Bielsa watu wanamchukulia poa ila bonge la kocha, very tectical,
Nina amini Bielsa ukimkabizi timu hii hii amtamini viwango vya wachezaj wetu vitakavyokua juu
Mkuu Delle Alli ni chizi mwengine tu wala hatufai mkuu.Kama wameshindwa kumsajili Sancho wamsajili Delle Alli
Delle ni mwingereza mwenye uwezo mkubwa sanaMkuu Delle Alli ni chizi mwengine tu wala hatufai mkuu.
Mkuu nakuunga mkono kwenye hoja yako.Wakuu naombeni rradhi
Tabia ya kumzungumzia lukaku inanikera Sana.
Sioni sababu ya habari za mchezaji ambaye ashasepa zake. Wangapi wameondoka Herrera,na wengine wengine tu wazuri walikuja na kuondoka who is lukaku?
Nawahikikishia pogba akiondoka nitakuwa na amani
Umeongea jambo la msingi sana. Tumlete Diego alete mabadiliko.Kweli kabisa lkn pia hata Diego Simeone anafaa kuchukua hii kazi.