Hii ni Pre-season mkuu watu still wana hangover kumbuka Arsenal huwa anagawa dozi sana Preseason but msimu wa 9 unakuja wanaendelea kuwa wasindikizajiNaona katika match 3 za pre-season Moyes kashalambishwa sakafu mara mbilli, leo kuna kitimu huko Japan kimewachapa goal 3 -2,
bila ya kusahau kua vijamaa vimefunga magoal 4 ktk hiyo game, team ya Moyes imefunga goal moja tu na jingine walisaidiwa na wajapan wenyewe.
Mchezaji nyota/ man of the match alitokea Yokohama, bwana Andrew KUMAGAI!
Atacheza wapi while wapo Kagawa,Rooney,RVP,Chicharito,Zaha na wengineo na kumbuka so far hakuna mchezaji hata mmoja aliyeuzwaTaarabt Moyes angemcheki huyu jamaa ni kiungo na mshambuliaji wa kweli na anaweza kupatikana kwa hela ndogo sana around £4.5 million hv
Atacheza wapi while wapo Kagawa,Rooney,RVP,Chicharito,Zaha na wengineo na kumbuka so far hakuna mchezaji hata mmoja aliyeuzwa
Taarabt anacheza winger na mawinga wamejaa au namba 10,hata hivyo sioni kama kiwango chake ni cha kuchezea ManUJamaa ni mzuri kwenye kiungo cha Kushambulia, anaweza kucheza mbele ya Carick. Kumbuka tulikuwa na tatizo la Kiungo hadi kufikia hatua ya kumrudisha Schools, Anderson na Cleverly wamekuwa hawapo kwenye kiwango kwa muda mrefu.
Ndugu zangu wa man utd sijui why Moyes anamng'ang'ania Fabregas, nafikiri imefika mahali sasa angalie another choice kuliko kuendelea na mchezaji ambae club yake haitaki kumuuza
Wacha atufanyie kazi ya kumrudisha CescEmirates bana, mbona una chuki hivyo?
Ndugu zangu wa man utd sijui why Moyes anamng'ang'ania Fabregas, ....sasa angalie another choice kuliko kuendelea na mchezaji ambae club yake haitaki kumuuza
Hahahah wewe jamaa sijui umetokea wapi?? Nasikia Wenger anataka kumsajili mtoto wa Prince Willium
Wacha1 wewe ndio chakula wenzako wanakupakua dalili zote za kupakuliwa unazo! Hauoni unavyojichekesha chekesha ovyo ovyo kama upo period!
Wacha1 wewe ndio chakula wenzako wanakupakua dalili zote za kupakuliwa unazo! Hauoni unavyojichekesha chekesha ovyo ovyo kama upo period!
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ..... ....... ..... ... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nachubiri majibu toka kwa Mashoga ... .... .. .... ...
Khe khe khe mkheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
We nawe kwa vijembe.
Haya soma hii
^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^
Man Utd to sign Fabregas.
Chelsea to sign Rooney.
Madrid to sign Suarez.
Napoli to sign Higuain and
Arsenal to sign autographs.
Siku njema
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>