USIMFANANISHE KLOPP NA VITU VYA KIJINGA. KATIKA HIYO MISIMU MINNE ALIFIKA FAINALI UROPA, CARABAO NA UEFA. ole amefika wapi??? Tandale kwa Tumbo?Klop alipewa misimu minne kuijenga Liverpool.. tumpe muda ole.. Roma haikujengwa siku moja... Hata fagason enz anachukua team kidogo ashuke daraja ila akapewa muda... Tumwache ole ajenge team... Kwanza hapew wachezaj anao wataka board inabana pesa... Sancho was best player
Acha matusi mzee wewe mkubwaKakuchomoa hadi wewe
JidanganyeThe last time Manchester United lost their opening Premier League match by at least two goals was in 1995-96, when they lost 3-1 at Aston Villa.
They went on to win the title.
Kwenye ushindani kinachomatter ni ushindi.
Ndicho ambacho kitaongelewa hapa.
Lakini Man U kadominate game nzima.
Possession ni 75 kwa 25.
Last time timu kua dominated na kushinda ni UCL. Man City na Lyon, na matokeo yalikua 3 kwa 1 hivi hivi.
So mwisho wa yote gemu ya leo ilikua ni 'better technics win' Man U hawana striker yet wakataka wacheze kwa mtindo huo.
Palace walijua hawana quality player pale kati so wakarely kwenye counter and it paid.
Kuchukua point 3 toka kwa Tottenham na zingine toka kwa Man U siyo jambo dogo kwa level yao tena bila kusajili. Wanastahili pongezi.
Ivi babu, Matic kwani mgonjwa?
Kama yuko fiti, basi Ole kachangia tufungwe.
Swala la usajili haliepukiki.
CB, CF & RW lasivyo tutaendelea kuumia.
Hivi njia gani itumike kumfukuza kazi Ed wood?
Huyu jamaa sina imani nae, haki ya mungu.
Mlikuwa na LVG nyinyi mkamletea nyoko.Asante hii timu akipewa mtu kama bielsa mtashangaa. Kocha wetu ni facken hana mbinu wala nini, timu inafungwa limekaa tuu limekunja 4.. Tupigwe hata game 4 mfululizo ndio akili zitakaa sawa..
Mkuu hawa ma fans wa arsenal sijui kimewapata, matusi mengi sana. Kila Muda akili zao zimezungukwa maneno machafu machafu, sasa wakija kwa staili hiyo na wewe nenda nao hivyo hivyo ..Mkuu wanawake ndiyo uwa wanasemaga man sisi ni mmbwa kwani na wewe ni Mwanamke Mkuu ?
Huyo Ed wanamuoneaga tuHizi habari za kumuandama Ed pale Timu inapoboronga ndiyo zinazomfanya OLE awe comfortable hata Timu ikose matokeo.
Yani unajua OLE tokea apewe Timu ameshatumia kiasi gani kwa Wachezaji?
Huyo mdau alikuwa ananichora tu hakuwa serious. Mimi niko na mishe zangu mkuu.