Sura yake ni yakitanzania★hapana nim ANGOLA ila kazariwa ENGLAND kama sijasahau ila jina sasa ( Teden Mambuene Mengi)★
Sura yake ni yakitanzania View attachment 1574139
Mtanzania huyu sema hii nchi kwenye soka co femous ndo mana kaamua kuchukua kwa mama lakini haitofuta ukweli ukitaka kuamini subiri aanze kupata umaarufu ndo utajua.Sura yake ni yakitanzania View attachment 1574139
Mnyamwezi au msukuma tu hakuna lingine lkn pia hata akisema anatoka kigoma pia sio case★Unakapa kabila gani hapo kwa hiyo sura★
Solskjær sio wa kumlaumu, kama ulivyosema tuna shida ya Winger wa kulia, Solskjær si amependekeza Sancho; Je, wamemleta?Tunakwenda kucheza uefa kwa nini bodi isisajili world class players kuziba matatizo ambayo tunayo kila siku?? Man u tuna shida ya winger wa kulia hata mtoto wa la saba asiyejua mpira anajua hilo, tuna shida ya beki wa kati hayo ni maeneo ambayo lazima lazima tuyarekebishe cha kushangaza ili litimu bodi na ole wao wanaenda kusajili van de beek an un unnecessary signing kioindi hiki anyway sio mbaya una mamido karibu watano unaenda kuongeza mwingine wakati kuna sehemu una shida ipo wazi badala udeal nayo unaiacha.
Kloop na Pep wamemwacha mbali sana ole kwa kutumia akili kloop huwa anasajili kuziba nafasi yenye upungufu tuu liver hawana creative middlefilder amabye ni aggressive tayari kloop hajapoteza mda kasajili thiago guaidiola alikuwa anashida ya beki kasajili ake nknk hizi ni target signings una sajili kwa sababu fulani man u tuna matatizo lukuki winger ya kulia na beki wewe unaenda kusajili middle mwingine eneo ambalo tayari kwa kiasi chake lina ahueni. anyway tusubiri tuone donny ana kitu gani cha ajabu ambacho kina pogba, bruno na scot hawana mpaka man u tumeacha kununua winger na beki tukamkimbilia yeye yaani ni sawa na nyumbani hakuna chakula badala ya kununua msosi familia ile wewe unaenda kuwafanyia shopping ya nguo.
Bodi itie pesa chapchap kwenye maeneo yenye shida sugu wachezaji world class kama sancho na koulibaly then sasa waanze kufikiria kuboresha left back na striker mmoja clinical mwenye nguvu kama backup ya kina shaw na martial uone kama epl hatubebi ila kwa winger hii ya kumtegemea greenwood na beki ya kina linderlov ata ukimleta huyo sijuu regulion nk ni kazi bure
Mnyamwezi au msukuma tu hakuna lingine lkn pia hata akisema anatoka kigoma pia sio case
Atakuwa na asili ya Morogoro★Unakapa kabila gani hapo kwa hiyo sura★
Atakuwa na asili ya Morogoro
Hapana Morogoro siyo kwetu ila namuona ni wa kanda hiyo★Umeona umpe kwenu★
Hao world class wakija kwetu wanafeli, tuendelee tu na hii hii philosophy yetu ya young and hungry players, vdb ni usajili mzuri mkuu, haiwezekani tumalize msimu mzima bila Bruno au Pogba kuumia.Tunakwenda kucheza uefa kwa nini bodi isisajili world class players kuziba matatizo ambayo tunayo kila siku?? Man u tuna shida ya winger wa kulia hata mtoto wa la saba asiyejua mpira anajua hilo, tuna shida ya beki wa kati hayo ni maeneo ambayo lazima lazima tuyarekebishe cha kushangaza ili litimu bodi na ole wao wanaenda kusajili van de beek an un unnecessary signing kioindi hiki anyway sio mbaya una mamido karibu watano unaenda kuongeza mwingine wakati kuna sehemu una shida ipo wazi badala udeal nayo unaiacha.
Kloop na Pep wamemwacha mbali sana ole kwa kutumia akili kloop huwa anasajili kuziba nafasi yenye upungufu tuu liver hawana creative middlefilder amabye ni aggressive tayari kloop hajapoteza mda kasajili thiago guaidiola alikuwa anashida ya beki kasajili ake nknk hizi ni target signings una sajili kwa sababu fulani man u tuna matatizo lukuki winger ya kulia na beki wewe unaenda kusajili middle mwingine eneo ambalo tayari kwa kiasi chake lina ahueni. anyway tusubiri tuone donny ana kitu gani cha ajabu ambacho kina pogba, bruno na scot hawana mpaka man u tumeacha kununua winger na beki tukamkimbilia yeye yaani ni sawa na nyumbani hakuna chakula badala ya kununua msosi familia ile wewe unaenda kuwafanyia shopping ya nguo.
Bodi itie pesa chapchap kwenye maeneo yenye shida sugu wachezaji world class kama sancho na koulibaly then sasa waanze kufikiria kuboresha left back na striker mmoja clinical mwenye nguvu kama backup ya kina shaw na martial uone kama epl hatubebi ila kwa winger hii ya kumtegemea greenwood na beki ya kina linderlov ata ukimleta huyo sijuu regulion nk ni kazi bure
Solskjær sio wa kumlaumu, kama ulivyosema tuna shida ya Winger wa kulia, Solskjær si amependekeza Sancho; Je, wamemleta?
Beki wa kati si ilikua wamnunue Magalhaes; Je, wamemleta?
Donny VDB ni usajili mzuri na sio wa kubeza kocha ameongezewa options.
Kitu ambacho Man. United hawawezi kufanya ni kumsajili Sancho na Koulibaly kwa kipindi kimoja. Mi naona wachukue kwanza RW na LB maeneo mengine watachukua dirisha la usajili linalofuata.
LB ndiyo kuna cheap option ilyopo sokoni, Telles ukimchukua na Sancho; United wata-spend almost £126M sasa ukitaka Koulibaly na Sancho itabidi iwatoke almost £188M; ni kitu ambacho hakitakuja kutokea msimu huu United ku-spend 188 kwa wachezaji wawili.
Biashara ya mpira sio uwanjani tu inaenda sambamba na mahesabu.
Hao world class wakija kwetu wanafeli, tuendelee tu na hii hii philosophy yetu ya young and hungry players, vdb ni usajili mzuri mkuu, haiwezekani tumalize msimu mzima bila Bruno au Pogba kuumia.
Defending!!???Ni bonge la LB, amekamilika kila idara; defending, shooting, pace, dribbling, passing & physically fit.
Nimeona tetesi amekubali dili la miaka mitano United na PSG nao wanahusishwa naye.
Hakuna sehemu utakayopata review nzuri ya mchezaji, ukienda YouTube huwezi kuona defending skills zake kwasababu watatumia muda wote kuonyesha magoli na assists zake. Na YouTube hakuna mchezaji mbaya wanaweka highlights nzuri tu kama ni kukaba wataonyesha skills kali tu sasa najiuliza kwanini umeshangaa kuwa vizuri defensively au kwakuwa ana-attack sana.Defending!!???
Jaribu kumfuatilia tena.
Unaangalia game ya Everton?Haaaahaaaa We unavyosema "palace ni ileile inayopokea bakora kila siku" unafikiri tumeelewaje unamaanisha nn...kwamba kila mkikutana nao ni kama shamba LA bibi mnajichotea points 3 sio....
Hata mimi naweza leta hoja hatuhitaji winga na beki, kule kulia kuna mata anaweza cheza yupo lingard na pia Perreira na greenwood pia anaweza cheza. Mabeki ndo usiseme jones, baily, tuanzebe, smalling, maguire, fosu mensah, jones, lindelof, mengi etc.Mkuu mgonjwa wa mguu unampa dawa ya kupunguza maumivu ya kichwa unategemea atapona mguu kweli wakati haumwi kichwa anaumwa mguu?
Tatizo letu msimu huu baada ya kumsajili bruno halijawahi kuwa viungo . Viungo tunao wa kutosha wakabaji kina matic, scit na fred na wote hao wameshaprove kuna mda tunaweza kuwategemea freshh pogba na bruno nao wapo vizuri all around sasa huyu vdb anauajabu gani mpaka tumsajili kipindi hikii?? kwa nn tumnunue yeye saivi wakati shida ipo kwenye winger na beki wa kati??
Au kina ed wood wanacheza tu na akili zetu mashabiki kwamba tufunike kombe mwanaharamu apite na sisi mbele ya watu tuonekane tumesajili???