The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Tangu kufaulu kwa cr7 pale utd imekuwa km motisha kwa Wareno wengi.Ni bonge la LB, amekamilika kila idara; defending, shooting, pace, dribbling, passing.
Nimeona tetesi amekubali dili la miaka mitano United na PSG nao wanahusishwa naye.
Yes! ila huyu ni m-Brazil. Wazee wa Samba. 🇧🇷Tangu kufaulu kwa cr7 pale utd imekuwa km motisha kwa Wareno wengi.
Wolvers ina wareno kibaoYes! ila huyu ni m-Brazil. Wazee wa Samba.
hajasaini, man U wamekubaliana tu na mchezaji mshahara, hio ni nusu ya usajili, baada ya hapo man u wanatakiwa kukubaliana na porto gharama za usajili, porto wakikubali ndio anakuja. sema hio tweet pia imeongelea psg wanamvizia, tunaweza pokonywa tonge mdomoni.Keshasaini au ndio story za vijiweni?
fabrizio Romano ambaye yupo sahihi muda mwingi anasema beki wa kushoto na winga wa kulia wanakuja.Hapo kwenye transfer ndo panapowashinda man u we subiri uone mkuu.
Kocha wao ameamua kuwapa nafasi watu wa nyumbani na watu anaowapa nafasi wanapiga kazi kwelikweli ukianza na kipa wao Patricio, Neves, Moutinho, Neto na Jota ambaye yuko mbioni kukimbilia kwa majogoo wa jiji la Liverpool.Wolvers ina wareno kibao
Here we go! 😁fabrizio Romano ambaye yupo sahihi muda mwingi anasema beki wa kushoto na winga wa kulia wanakuja.
sema wanamaliza beki wa kushoto kwanza halafu ndio winga.
Yaani Ed anashindwa kutoa 18.5????hajasaini, man U wamekubaliana tu na mchezaji mshahara, hio ni nusu ya usajili, baada ya hapo man u wanatakiwa kukubaliana na porto gharama za usajili, porto wakikubali ndio anakuja. sema hio tweet pia imeongelea psg wanamvizia, tunaweza pokonywa tonge mdomoni.
Sancho eeh?Here we go!
sio kwamba ameshindwa ndio wapo step hio sasa hv, ngoja tuoneYaani Ed anashindwa kutoa 18.5????
Yetu macho.sio kwamba ameshindwa ndio wapo step hio sasa hv, ngoja tuone
Now 3rd kit wanavaa km jezi ya PortugalWolvers ina wareno kibao
Lawama zangu kuhusu usajili nazitunza hadi deadline dayYaani dirisha lifungwe tu inakera sana tunakuwa linked na wachezaji wengi na wazuri ila huishia kwenda timu nyingine huu ni ujinga sasa bodi na baadhi ya mashabiki wa man u mnadhani timu yetu imekamilika embu mshawai kujiuliza akiumia martial, rashford bruno matic wan bissaka au maguire nani atacheza??? Hii timu yetu isiposajili tena msimu huu wachezaji watatu world class bado tutaendelea tu kuisindikuza liverpool and mancity title winning era
Nilitamani sana huyu dogo aje aharakishe safari ya Axel Tuanzebe.
Sijawahi kuona kitu special kwa Tuanzebe zaidi ya kuwa na sifa za Phil Jones kwenye kitanda cha wagonjwa.
Nataraji kuona makubwa kutoka kwake msimu huu ni beki mzuri sana mwenye kila sifa za kuitwa central defender.
Huyu dogo siyo mtanzania kweli ?
Amekanusha Mwenyewe kuwa Ana roots za Nigeria, maana wale jamaa walishachukua Credit.
Jina lake la Kati ni Mambuene, hivyo anaweza kuwa na Asili ya Congo pia.
Telles ni mbrazili mkuu was was wangu uko pale pale tu na South AmericansTangu kufaulu kwa cr7 pale utd imekuwa km motisha kwa Wareno wengi.