Aseno tumewatesa sana jamaniNdo hyo game mkuu nakumbuka kuna jamaa wa Arsenal alikuwa anaongea sn cku hyo ss cr7 anakuja kupiga goli dk za mwisho mwisho jamaa mmoja wa utd alitoka nyuma aende kumpiga lkn watu walimshika
Serious wachezaji wameisha kabisa mpaka United iwasajili hao spana mkononi ambao hakuna walichofanya the last 3 seasonKwa quality ya winga kwamba Bale na Costa wanajua kucheza winga kama Mata/lingard/perreira? Hapana Aisee. Majeruhi sawa ila full fit bale/Costa ni top players wanaocheza top teams nyingi tu.
Acheni utani nyie, Giggs huyu huyu Aliecheza mechi karibia 1000? Pia Giggs na Scholes hawajatofautiana sana kustaafu ni kama mwaka 1 tu
Ryan Giggs - Manchester United Player Profile & Stats
Paul Scholes - Manchester United Player Profile & Stats
Hapo Giggs alikuwa mechi zaidi ya 100 zaid ya Paul.
Giggs kuanzia 1992 tayari ana no kikosi cha kwanza, Paul alianza kama 10 na alikuwa rotation baadae alipokuja kuwa CM ndio akawa anapata no.
kwenye EPL paul ana 499 tu, reason inayomake sense hapo wameandika Appearence za Paul all competition na za Giggs za Epl tu.★Sikatai ila nina wazo huenda wao watakuwa wamechukua appearance za EPL tu embu jaribu kufuatiria hapo Mkuu★
mkuu kwenda msimu bila winga wa kulia ama kwenda msimu na Bale wa bure unachagua kipi? hata mimi Nisingeridhika kuja Bale over someone kama Sancho, tunahitaji wachezaji wenye Njaa kutupa vikombe, ila kwa bure anaweza kutusaidia kama Zlatan.Serious wachezaji wameisha kabisa mpaka United iwasajili hao spana mkononi ambao hakuna walichofanya the last 3 season
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Na hapo alikuwa hajakabwa kabisa!
Tunataka hela yetu, hii haikubaliki.
1.Bale ni injury prone na attitude yake haitufai United Costa ni galasa hata akiwa mzimamkuu kwenda msimu bila winga wa kulia ama kwenda msimu na Bale wa bure unachagua kipi? hata mimi Nisingeridhika kuja Bale over someone kama Sancho, tunahitaji wachezaji wenye Njaa kutupa vikombe, ila kwa bure anaweza kutusaidia kama Zlatan.
Hapa tumepigwaNa hapo alikuwa hajakabwa kabisa!
Man united kumnunua Bale ni matumizi mabaya ya hela si bora wamsajili Demarai Gray au Saint Maxmin wa New Castle ?Serious wachezaji wameisha kabisa mpaka United iwasajili hao spana mkononi ambao hakuna walichofanya the last 3 season
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
tetesi ni kumchukua bale kwa mkopo kama tutamkosa sanchoMan united kumnunua Bale ni matumizi mabaya ya hela si bora wamsajili Demarai Gray au Saint Maxmin wa New Castle ?
It's loan deal, regardless our problem Bale/Costa hawatufai kwa sasaMan united kumnunua Bale ni matumizi mabaya ya hela si bora wamsajili Demarai Gray au Saint Maxmin wa New Castle ?
Hata kama ni matumizi mabaya ya muda, akili na mkopo.tetesi ni kumchukua bale kwa mkopo kama tutamkosa sancho
Mshahara wa Bale ni mkubwa kuliko Sanchez na Perez hawezi kubali kulipa mshaharatetesi ni kumchukua bale kwa mkopo kama tutamkosa sancho
Kwa vyovyote iwavyo Bale na Costa hawafaiIt's loan deal, regardless our problem Bale/Costa hawatufai kwa sasa
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Kuna yule dogo wa ajax anaitwa NERES kwani hawezi kubadilishwa ubavu tukamtumia hata kwa dharura tu?Man united kumnunua Bale ni matumizi mabaya ya hela si bora wamsajili Demarai Gray au Saint Maxmin wa New Castle ?
Greenwood na Daniel James wanaweza kufanya hiyo dharuraKuna yule dogo wa ajax anaitwa NERES kwani hawezi kubadilishwa ubavu tukamtumia hata kwa dharura tu?
Mm cjui huwa naonaje lkn kuna mtu anaitwa Adama Traore wa wolves anacheza no7 huwa naona yule anatufaa kabisa kuwa back up ya AWB tunamchukua zen tunamuweka back 2 ya kupanda mnaonaje hii wakuu.Kuna yule dogo wa ajax anaitwa NERES kwani hawezi kubadilishwa ubavu tukamtumia hata kwa dharura tu?