Achana na mambo ya Bruno Fernandez., kwakifupi Ni kwamba Leverkuku hana maajabu, msimu huu, hilo limeanza kuonekana kwenye ile mechi yake na Arsenal.Hizo penalty angefunga Bruno Fernandes ingekuwa story kubwa sana.
Wazo zuri, Ila sidhani Kama utakuwa simple ivyo..!Hivi Man United hawawezi kumnunua Riyadh Mahrez kama mbadala wa Jadon Sancho ?
SanaHizo penalty angefunga Bruno Fernandes ingekuwa story kubwa sana.
Kwa game time anayoipata pale Man City itakuwa rahisi sana Mahrez kuikubali offer ya man united.Wazo zuri, Ila sidhani Kama utakuwa simple ivyo..!
Wanaelekea kukata moto hata ligi bado haijaanza.Achana na mambo ya Bruno Fernandez., kwakifupi Ni kwamba Leverkuku hana maajabu, msimu huu, hilo limeanza kuonekana kwenye ile mechi yake na Arsenal.
Bruno anasimangwa sana kwa sababu ya uwezo wake mkubwa sana kwenye set pieceSana
Achana naoBruno anasimangwa sana kwa sababu ya uwezo wake mkubwa sana kwenye set piece
Hata Mahrez ni Alternative Nzuri sana, yupo Douglas costa pia japo ni majeruhi sana.Hivi Man United hawawezi kumnunua Riyadh Mahrez kama mbadala wa Jadon Sancho ?
Douglas Costa labda tununue na mobile theater kwajili ya kumfanyia Surgery.Hata Mahrez ni Alternative Nzuri sana, yupo Douglas costa pia japo ni majeruhi sana.
Ni lazima mkuu Bruno anachezea timu kubwa kuliko zote pale uingereza hiyo ndiyo sababu kuu!Hizo penalty angefunga Bruno Fernandes ingekuwa story kubwa sana.
kumbe deni la taifa bado ni himilivu, itapendeza zaidi kama tutaianza ligi tukiwa na wachezaji wetu tuliokwisha wazoeaNdiyo kwanza tuko wiki ya tatu hii
Hahaha kuna kila dalili mechi yetu ya kwanza tukapoteza.kumbe deni la taifa bado ni himilivu, itapendeza zaidi kama tutaianza ligi tukiwa na wachezaji wetu tuliokwisha wazoea
nilibahatika kuiangalia kiuvivu ile mechi hapo jana asubuhi (kupitia MAN UTD TV)....Hahaha kuna kila dalili mechi yetu ya kwanza tukapoteza.
Toka tumerudi kutoa EUROPA sioni timu kama imefanya hata mazoezi walau kidogo.
Story zinazozunguka nyingi ni za hovyo hovyo mara Maguire kafungwa jela, Greenwood kaingiza demu kambini, Lindelof kakaba mwizi mtaani.
Juzi na Aston Villa wachezaji wetu naona fitness haipo kabisa tunaenda kucheza na Crystal Palace ambaye ameshaonja ushindi dhidi ya United msimu uliopita.
Wachezaji wetu wengi huenda wasiwepo mechi yetu na crystal palace Rashford ni majeruhi, Pogba hajulikani alipo, Bruno yuko analea mgeni huko Ureno, Martial ndiyo kwanza anakula fungate ya kuitwa tena katika kikosi cha ufaransa.
Ngoja tuone itakuwaje
Mazoezi swafi na tutashindaHahaha kuna kila dalili mechi yetu ya kwanza tukapoteza.
Toka tumerudi kutoa EUROPA sioni timu kama imefanya hata mazoezi walau kidogo.
Story zinazozunguka nyingi ni za hovyo hovyo mara Maguire kafungwa jela, Greenwood kaingiza demu kambini, Lindelof kakaba mwizi mtaani.
Juzi na Aston Villa wachezaji wetu naona fitness haipo kabisa tunaenda kucheza na Crystal Palace ambaye ameshaonja ushindi dhidi ya United msimu uliopita.
Wachezaji wetu wengi huenda wasiwepo mechi yetu na crystal palace Rashford ni majeruhi, Pogba hajulikani alipo, Bruno yuko analea mgeni huko Ureno, Martial ndiyo kwanza anakula fungate ya kuitwa tena katika kikosi cha ufaransa.
Ngoja tuone itakuwaje
Hakika tunapaswa kujenga timu katika philosophy inayoeleweka wakati mwingine Solkjaer sijui anabahatisha bahatisha vile.nilibahatika kuiangalia kiuvivu ile mechi hapo jana asubuhi (kupitia MAN UTD TV)....
aston villa walicheza vizuri zaidi dhidi yetu
==============
kocha anatakiwa awe na philosophy inayoonekana....
angalia alichokijenga marcelo bielsa pale leeds ndani ya muda mfupi
angalia anachokijenga arteta pale arsenal ndani ya muda mfupi
View attachment 1569397
picha haina uhusiano na thread hii