Mzee kuna watu wanawachukiaga watu tu bila hata sababu ya msingi..Huyo Fred mbona munamchulia sana!?
mkuu hiyo shazam vipi?
Hapo mkuu Bavaria kaenda mbali sana.Vipi kuhusu Paul Scholes
NYUMBU bana mnafurahisha sana, eti ujio wa Alcantara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli nyie ni NYUMBU View attachment 1558734
Oya kama unataka connection ya kazi ukae kimya humu, ikiwezekana utoke humu.
Muambie huyo. Akili zenyewe za mpira zinamshinda, akipewa ajira ipi sasa ataiweza. Mitandao hii inareflect na kile unachoandika na ubongo wako.Oya kama unataka connection ya kazi ukae kimya humu, ikiwezekana utoke humu.
Ukiendelea na mdomo wako hupati kazi
Sawa.Oya kama unataka connection ya kazi ukae kimya humu, ikiwezekana utoke humu.
Ukiendelea na mdomo wako hupati kazi
Ushabiki wa mpira unahusiana vipi na kazi? Nyie ndo mnachukulia vitu personal? Mnafeli sana ..Muambie huyo. Akili zenyewe za mpira zinamshinda, akipewa ajira ipi sasa ataiweza. Mitandao hii inareflect na kile unachoandika na ubongo wako.
Mtafutieni kazi aache kudangaMuambie huyo. Akili zenyewe za mpira zinamshinda, akipewa ajira ipi sasa ataiweza. Mitandao hii inareflect na kile unachoandika na ubongo wako.
Kazi gani ataiweza ikiwa hata kuandika hawezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oya kama unataka connection ya kazi ukae kimya humu, ikiwezekana utoke humu.
Ukiendelea na mdomo wako hupati kazi
Kapanick[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtafutieni kazi aache kudanga
Bruno hakupata penalti kwa sababu nafasi zilizotengenezwa , forward walizitendea haki
Wewe piga mdogo uone kama utapata connection ,utabaki kudanga tuKapanick[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mkuu Aaron usini mind bana huu ni mpira tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kazi gani ataiweza ikiwa hata kuandika hawezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sipo kuchafua thread ya watu hapa , maana ndio unachokitaka , [emoji3]Mkuu Aaron usini mind bana huu ni mpira tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana sasa ushaanza kufatilia maisha yangu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Leo wikiend bana ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1560425
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Uzuri mmoja mimi huwa sinaga tempah za kumind[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe piga mdogo uone kama utapata connection ,utabaki kudanga tu
Connection tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] angalia sasa ulivyo panic..Sipo kuchafua thread ya watu hapa , maana ndio unachokitaka , [emoji3]
Mimi nilikuwa nakukumbusha tu alichosema mdau hapo juu, Utakosa connection ,nikakumbuka hata kuandika hujui[emoji23]