Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapa mkuu hatupo pamoja, heheheheheeee madrid mbn viande wengi tu pale.
 
Kama yupi ambaye akija man u atakuwa benchi
Yule vinicius c chizi kabisa mkuu au we unamuonaje? Yule Vasquez ana ubora gn wa kiivyo? Ni average player, bale mwenyewe amekuwa mzigo tu hata jana nimemuangalia yn kawaida tu, hata kroos akija utd co kwmb ataingia moja kwa moja kikosini cz pale kati kuna wachezaji bora km yy au kumzd yeye nadhani unalijua hilo, haya nafasi ya modric yupo Bruno je kwa modric wa ss unaweza kumuweka benchi Bruno kweli acheze yeye? Pale mbele yupo benzema ofcz kwetu atacheza kulingana na ubovu wa forward yetu lkn benzema co kivile wa kusema ndo wakumtegemea na pale real yupo mpk leo kwasababu ya zizou, huko benchi ndo utopolo mtupu na ndiyo maana walitolewa kirahisi na city.
 
Siyo wote mkuu Reguillon ni fullback wa kawaida tu siyo upgrade ya Brandon wala Luke Shaw.

Fullbacks za Real Madrid za sasa ni za kawaida tu na Marcello alikuwa na majeraha ya muda mrefu kwanini Reguillon hakuchukua nafasi.
 
He is overweight. and I think it has some thing to do with his genealogy.
 
Usitake kuiona United ni kama Newcastle au Reading..Put some respect kidogo

Madrid vilaza na flops wapo wa kutosha
 
Hapana huyo dogo ni mzuri labda atafutwe left back Wa kumpa back up mana shaw haeleweki in terms of consistency and injures
 
Huyu mchezaji tulimsajili kwa vihela kidogo sanaaa! Ila cha ajabu ni vile tulivyojivuta ktk kumnunua pamoja na dau lake kuwa vile!
Wapo wengi kule ureno na uholanzi ambao ni bei rahisi lkn wako vzr, angalia mshahara anaolipwa Bruno pale utd af angalia mshahara anaolipwa mpuuzi km Rashford yn hakuna uhalisia kabisa, napendekeza hata tambala apewe Bruno cz ni kiongozi halisi kabisa unaweza kuona hata jana alivyokuwa kiongozi kwa tm yenye mafundi km ureno.
 
Huyo Fred mbona munamchulia sana!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…