Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mnamlaumu Martial Je amezungukwa na kina nani? Au ndo hizo pasi uchwara za fred? Au mnataka akokote mpira kutoka goli moja hadi lingine.

Mpira ni combination,Kuna mdau aliongelea accuracy ya Martial hapo EPL.
Hahahaaa mkuu hili suala la kuzungukwa na nani huwa linaongelewa kwa most talented players ambao awali walisha proof ubora wao, ss ikiwa Martial anataka tuhoji kuwa kazungukwa na nani ilipaswa apambane kututhibitishia ubora wake, hata pogba huwa tunahoji kazungukwa na nani cz alisha proof ubora wake.
 
Sanchez ameanza kuongea shit kuhusu sisi

Anasema siku ya kwanza kwenye training alitamani aiambie familia yake wacancel deal arudi zake Arsenal..Sijui ni kitu gani kimepelekea yeye kusema haya au ni kipi kilimfanya aone ni bora kucancel the deal
 
Sanchez ameanza kuongea shit kuhusu sisi

Anasema siku ya kwanza kwenye training alitamani awaambie familia yake wacancel deal arudi zake Arsenal..Sijui ni kitu gani kimepelekea yeye kusema haya au ni kipi kilimfanya aone ni bora kucancel the deal
Keshafeli huyo hana jipya.
 
Sanchez ameanza kuongea shit kuhusu sisi

Anasema siku ya kwanza kwenye training alitamani aiambie familia yake wacancel deal arudi zake Arsenal..Sijui ni kitu gani kimepelekea yeye kusema haya au ni kipi kilimfanya aone ni bora kucancel the deal
Kleberson,Veron,Forlan,Anderson,Falcao,DiMaria na wengine toka South America walistruggle United licha ya kucheza vizuri timu nyingine

Tevez,Rafael,Heinze & Valencia ndio wachezaji toka S.America waliofanikiwa United
 
Mkuu timu mbovu kuifunga timu nzuri sio kipimo cha ubora,,
Ni sawa na shehe kuangukiwa na maiti wakati wa kuzika,,na shehe akafa..
Hyo natokea sn tu.
Man u bado sio nzr kwa ushindani wa EPL na UEFA...
 
Kwa mtazamo wangu mm naona Thiago Alcantara hana tofauti na Matic. Kiukweli bado sijamkubali
Hata km anafanana na Matic but ni classic player yule af km Ole atamchukua atakuwa ameenda na bits kweli kweli cz ndo ameanza kucheza ktk ubora wake now, ofcz tunahitaji kujaza classic players kwa inavyowezekana ili kuwa na kikosi kipana zaidi.
 
Mkuu The best 007 ,kwa usajili huu wa kulundika viungo unaona ole analenga uchezaji wa aina gani pale united? ukiachana na habari ya kikosi kipana,naona usajili wetu ni wa aina moja tu,viungo. Na je,ujio wa alcantara atakuwa bench player au starter?
 
Ujio wa Alcantara utafanya Mc tominay au Fred kupotea kabisa. Yawezakana nafasi kwao ikawa ni Emirates cup pekee
Yah ndiyo kitu napenda yn ionekane kwamba kupata namba utd basi we kweli mkali, mfano ujio wa Bruno umefanya wapuuzi km lingard kushindwa kucheza japo mazoezini
 
Mkuu The best 007 ,kwa usajili huu wa kulundika viungo unaona ole analenga uchezaji wa aina gani pale united? ukiachana na habari ya kikosi kipana,naona usajili wetu ni wa aina moja tu,viungo. Na je,ujio wa alcantara atakuwa bench player au starter?
Lengo ni kuutawala mchezo tu hakuna jipya, hapo ukitawala mchezo, zen ukapata forward mfano wa Cavani heheheheheeee yn unamfunga mtu huku akiombea mechi iishe.
 
Lengo la Ole km langu tu, ole anaamini ktk viungo km pep mm pia ni muumini wa viungo bora uwanjani unapokuwa na viungo bora mfano Bruno, pogba, VDB, Alcantara, Matic, Mc Tommy n.k hapo ukimkamata mtu unamfumua malinda mpk anaomba poo kudadadeki mana kila akianza anakaa na mpira sekunde 3 mnao nyie mnakaa nao dk5.
 
Unakumbuka Barca ya Mascherano, Busket, Xavi na Iniesta (

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Ndio hawa wachezaji tunawakumbatia tukijiongopea wako vzr mwisho wa siku tukikutana na wanaojua hata on target moja hawapigi.
Man Utd ni club kubwa.

Ni nadra sana kupata mchezaji asije kucheza kwa presha.

Ndo maana tulisajili baadhi ya wachezaji wenye majina wakashindwa kufanya vizuri.

Tumuamini Martial, tumpe viungo na wingers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…