Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimependa uchambuzi na ni kweli kiweledi zaidi stats ni moja ya vigezo. Tuwekee na conversion rate.
 
Klopp alifungwa fainal lkn tayari alishaonesha sign anaelekea wapi , ndio maana alipoletewa watu ali deliver
Mashabiki wengine utawaelimisha utachoka, Sasa wanawalinganisha Klopp na huyu Sos wao. Klopp unaona kabisa timu ilianza kubadilika, mbinu zake zinaonekana.

Huyu Sos wao anawapeleka Shimoni licha ya wachezaji wazuri aliokuwa nao. Hii timu pamoja na changamoto nyingine, haina mwalimu wa kuwatoa walipo.
 
Real Madrid planning surprise transfer bid for Inter Milan star Romelu Lukaku
Real Madrid planning surprise transfer bid for Inter Milan star Romelu Lukaku https://t.co/WBZ1OaA7UR
 
Km una miaka 23 unashabikia man u mbn unatoa kauli dhaifu sana dhidi ya malegend wa tm mkuu.
Nimeweka takwimu.

Weka zako, nioneshe Chicharito yupo juu ya Lukaku.

Wote wapo kwenye the same category.

Nishawish otherwise.
 
We jamaa nazidi kupata ukakasi juu ya ushabiki wako yn unataka kumfananisha lukaku na nisterlooy? Hawafanani kabisa kuanzia talent mpk delivering style, kuna magoli nisterlooy alikuwa anafunga lukaku hajawahi kufunga mpk leo na hatokaa afunge ktk career yake, kuhusu idadi ya mechi cc hatuna haja ya kujua bali tunachojua ni kwamba nisterlooy yuko mbele ya lukaku na hawajawahi kufananishwa hata kidogo na haiwezi kuwa hivyo hata iweje. Ok ngj nkuache tu uamini unavyojua ww cz con mantiki hapa.
 
Kuna unachojua wewe? Au unaishi kwa kukariri majina? Takwimu hizo hapo juu zinaongea.

Nina miaka 23 nashabikia Man Utd, huo ni sawa na umri wako.

Pumbavu kabisa.
Twendeni taratibu jamani tutaelewana mdogomdogo



Here we go.
 
Jipoze na hii
 
See how childish you are. I expected facts from you.

Benchmark yako ya kupima talent ni ipi?

Hata Chico alikuwa anafunga na kisogo, tumbo. Magoli ya Zlatan vipi?

Style of scoring or delivering doesn't matter, but we need goals.

Nyie ndo mnachagua mtu kwa kuangalia mvuto wake na sio takwimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…