Lesz faire manager. Team nzima yamekuwa kama masela tu.Mkuu mie nadhani hili tatizo la uvivu linasababishwa na meneja wao,haiwezekani kila kitu kinaonekana kocha yeye kakunja nne kabisa wakati mambo hayaendi.
Kwa asilimia kubwa huwa tunafungwa sababu ya work rate ndogo ya wachezaji wengi wa united.
Kwani ww unavyodhani huyo lukaku ana goli ngapi za ligi? Ana goli 23 tu Rashford ambaye mm cmwoni km natural forward kapiga goli 17 na mda mrefu alikuwa na injury, hata Martial pia ana goli hizo hizo 17 so usitake kumwongelea lukaku as if unamwongelea cr7 au Messi au lewandoski bali ni average player tu ambaye ukimweka sokoni yeye na Martial au Rashford zen uangalie thamani sokoni utagunduaa jamaa ana kiwango gn.Suala lilikuwa unamuuza Lukaku, kibonge anayekosa magoli ya wazi lakini ana uhakika wa kukupa goli 18 kwa msimu unamreplace na Foward gani?
Kumfananisha Lukaku na Rashford duuh am speechless.
Nakumnunua Mil 75 tulipigwa kama kawaida yetu.Kwani ww unavyodhani huyo lukaku ana goli ngapi za ligi? Ana goli 23 tu Rashford ambaye mm cmwoni km natural forward kapiga goli 17 na mda mrefu alikuwa na injury, hata Martial pia ana goli hizo hizo 17 so usitake kumwongelea lukaku as if unamwongelea cr7 au Messi au lewandoski bali ni average player tu ambaye ukimweka sokoni yeye na Martial au Rashford zen uangalie thamani sokoni utagunduaa jamaa ana kiwango gn.
Man u inatuangusha sn mashabiki tunaisapoti sn lkn viongozi wanafocus sn pesa, mda c mrefu tunaenda kupoteza sifa za kukaa pale juu miongoni mwa tm 3 kubwa zaidi duniani.Nakumnunua Mil 75 tulipigwa kama kawaida yetu.
Msimu huu tujiandae kupigwa tena kwa average players wakingereza.
Taarifa sokoni za man United zimezima ghafla huenda tumeahirisha kusajili tena.
Hivi Woodward anatuchukuliaje ????
OGS sura yake inasema mengi sana kulingana na uwajibikaji wa wachezaji wake uwanjaniLesz faire manager. Team nzima yamekuwa kama masela tu.
Mwalimu anayaita "the boys" na menyewe yanaitana "the boys".
Pure ROOMMATES mentality.
Ndiyo maana Jose Mourinho aliwaambia bodi wanawadharau watu waaminifu wanaoishabikia Man United.Man u inatuangusha sn mashabiki tunaisapoti sn lkn viongozi wanafocus sn pesa, mda c mrefu tunaenda kupoteza sifa za kukaa pale juu miongoni mwa tm 3 kubwa zaidi duniani.
Ni kama anawabembeleza vile ili waendelee kuwa loyal kwake.OGS sura yake inasema mengi sana kulingana na uwajibikaji wa wachezaji wake uwanjani
Jamaa watuwakilishe tena kwa kuchoma nyumbani kabisa. Lakini ole naye haongei yule mzushi.Nakumnunua Mil 75 tulipigwa kama kawaida yetu.
Msimu huu tujiandae kupigwa tena kwa average players wakingereza.
Taarifa sokoni za man United zimezima ghafla huenda tumeahirisha kusajili tena.
Hivi Woodward anatuchukuliaje ????
Hili la Ole kwa Woodward tulishalisema ni mr yes man hivyo mengine nikumwonea tu.J
Jamaa watuwakilishe tena kwa kuchoma nyumbani kabisa. Lakini ole naye haongei yule mzushi.
Katika hayo magoli Rashford ana penati ngapi na Lukaku ana ngapi?Kwani ww unavyodhani huyo lukaku ana goli ngapi za ligi? Ana goli 23 tu Rashford ambaye mm cmwoni km natural forward kapiga goli 17 na mda mrefu alikuwa na injury, hata Martial pia ana goli hizo hizo 17 so usitake kumwongelea lukaku as if unamwongelea cr7 au Messi au lewandoski bali ni average player tu ambaye ukimweka sokoni yeye na Martial au Rashford zen uangalie thamani sokoni utagunduaa jamaa ana kiwango gn.
Ndo u Google ss ujionee mwenyewe mana me naona rash alikuwa anakosa penalti, je vp kuhusu Martial umemruka auu.Katika hayo magoli Rashford ana penati ngapi na Lukaku ana ngapi?
Kweli ndio maana mkafungwa na Sevilla kama na wewe shabiki unaamini Rashford au Martial wapo level za Lukaku.Kwani ww unavyodhani huyo lukaku ana goli ngapi za ligi? Ana goli 23 tu Rashford ambaye mm cmwoni km natural forward kapiga goli 17 na mda mrefu alikuwa na injury, hata Martial pia ana goli hizo hizo 17 so usitake kumwongelea lukaku as if unamwongelea cr7 au Messi au lewandoski bali ni average player tu ambaye ukimweka sokoni yeye na Martial au Rashford zen uangalie thamani sokoni utagunduaa jamaa ana kiwango gn.
Timu inayotengeneza nafasi 30 inafunga goli 2 za penalt bado inasema ina foward wa kiwango...Lukaku anakiwasha wote tunaonaKatika hayo magoli Rashford ana penati ngapi na Lukaku ana ngapi?
Wacha maneno ya kwenye kahawa nenda angalia statistics anaeongoza magoli europa league ni nani af angalia huyo unayemsema ww ni bora ana goli ngp zen ujiulize anatofauti gn na anayemfatia.Kweli ndio maana mkafungwa na Sevilla kama na wewe shabiki unaamini Rashford au Martial wapo level za Lukaku.
Endeleeni kudanganyana na wachezaji wa sampuli hii muone kama kuna kombe la maana mtabeba.
Kwn ww unadhani penalti unafunga tu kiurahisi km unavyokunywaga gongo apo kitaa.Timu inayotengeneza nafasi 30 inafunga goli 2 za penalt bado inasema ina foward wa kiwango...Lukaku anakiwasha wote tunaona
Sisi timu ilikuwa inapack Basi chini ya nduli morinyo ulitaka afungaje.. Kuna mechi alikuwa anachezeshwa Hadi winga ulitaka afungajeNyie mnaopiga kelele za lukaku huwa nawashangaa sana, lukaku hakuanzia man u km tm kubwa kwake bali alianzia Chelsea na akafeli akaenda tm ndogo km ckosei Everton akaanza kushine kdg japo hakuwahi kuwa mfungaji bora wa ligi yyte kubwa lkn tukamchukua, na baada ya kumchukua akaanza kunenepeana huku akikosa magoli ya wazi kabisa pengine kuliko hata anayokosa chizi mwengine trashford au yule mzembe wa kifaransa Martial, leo ameenda inter ameshine kwa namna yake mnaanza kupiga kelele kwamba tulikosea kumuuza mnasahau kwmb presha iliyopo inter huwez kuifananisha na presha iliyopo utd, alikuwepo pale utd na wengi wenu mlikuwa mnalaumu kwamba ana kilo 100 kuweni serious hata kdg basi.
Niliwahi kusema Ole ni Racist sema ajioneshi sanaOle mbaguzi wa rangi kichwa chake.
Huyu ndio yule Lukaku ambaye alikuwa anatukanwa hapa tunaambiwa Martial/Rashford ni washambualiaji bora kuliko yeye
United made big mistake kumuuza