Mkuu usipuuzie presha kwa makocha na wachezaji wa hizi team kubwa kutoka kwa fans, Sponsors na Management.. Pochet akienda United utamwona bwege lakini ni kocha wa viwango. Pia Subiria kitakachomkuta KoemanWkt mwngne huwa naona maneno ya mzee Wenger yanaishi kichwani mwangu kuhusu kusajili wachezaji wenye majina kwa pesa nyingi wkt sokoni kuna wachezaji wengi tu wasio na majina lkn uwezo ule ule, mfano tazama Leipzig ina wachezaji wengi wasiojulikana lkn kimpira unakuta wanaupiga mwingi kuliko tm nyingi zenye wachezaji wenye majina tatizo hapo ni kuwa na scouting yenye jicho la mwewe.
Kwn keshapewa barca huyo koemanMkuu usipuuzie presha kwa makocha na wachezaji wa hizi team kubwa kutoka kwa fans, Sponsors na Management.. Pochet akienda United utamwona bwege lakini ni kocha wa viwango. Pia Subiria kitakachomkuta Koeman
Why does Manchester United raise a red flag with South American players?Man u kuna tatizo sn kuhusu viwango vya wachezaji kwa miaka ya hv karibuni, yn unakuta mchezaji akija ana perform vzr lkn miez kadhaa mbele naye anageuka average player ss cjui wanapigana misumari pale, hata Bruno utakuta mcm ujao anageuka lingard.
Martial size yake ni United?Hao huwa hawatambi wakiwa utd cz jina la tm linawazd kimo na mtu asiniambie kuhusu mfumo mana km unajua unajua tu itabaki tu kusema kocha kazingua kwenye mfumo but cc mashabiki hatutakugusa cz unajua, nikija kwenye suala la lukaku cwezi na sitokuja kujuta kumpiga chini cz ni average player ameenda kwenye ligi ya saizi yake so ni lazima aonekane mtu lkn ni mimavi tu.
Ubora wa scouting ndo unaingia.Wkt mwngne huwa naona maneno ya mzee Wenger yanaishi kichwani mwangu kuhusu kusajili wachezaji wenye majina kwa pesa nyingi wkt sokoni kuna wachezaji wengi tu wasio na majina lkn uwezo ule ule, mfano tazama Leipzig ina wachezaji wengi wasiojulikana lkn kimpira unakuta wanaupiga mwingi kuliko tm nyingi zenye wachezaji wenye majina tatizo hapo ni kuwa na scouting yenye jicho la mwewe.
Wanakwambia Lukaku mzito. Ila magoli anafunga tena ana miaka 26 tu.Lukaku kashapigaga goli 25 za EPL kila Msimu kwa Misimu miwili EPL Nani pale United ana hizo goli ?
Romelu Lukaku enters top 20Hao huwa hawatambi wakiwa utd cz jina la tm linawazd kimo na mtu asiniambie kuhusu mfumo mana km unajua unajua tu itabaki tu kusema kocha kazingua kwenye mfumo but cc mashabiki hatutakugusa cz unajua, nikija kwenye suala la lukaku cwezi na sitokuja kujuta kumpiga chini cz ni average player ameenda kwenye ligi ya saizi yake so ni lazima aonekane mtu lkn ni mimavi tu.
Lukaku hatufai ndugu. Alivyofika man utd aliona ni sehemu pa kustarehe, wakati kiwango chake ni cha kufanyia kazi kwa bidii, siyo mchezaji wa kipaji yule. Alikuwa ana kampani na pogba, lakini mwenzie ni kipaji. Yeye akaishia kunenepeana na kutokuwa na jipya. Huko italy anajitahidi kufanyia kazi kiwango chake ambapo akiwa man utd hakuwa anafanya hivyo, yeye mwenyewe lukaku analijua. Na asipo work hard hapo italy, atatupiwa virago mapema sana, tena kule ubaguzi ndiyo usiseme.Wanakwambia Lukaku mzito. Ila magoli anafunga tena ana miaka 26 tu.
Leo hii wanamtaka Dzeko mwenye miaka 30.
Una kichaa wewe ...Lukaku hatufai ndugu. Alivyofika man utd aliona ni sehemu pa kustarehe, wakati kiwango chake ni cha kufanyia kazi kwa bidii, siyo mchezaji wa kipaji yule. Alikuwa ana kampani na pogba, lakini mwenzie ni kipaji. Yeye akaishia kunenepeana na kutokuwa na jipya. Huko italy anajitahidi kufanyia kazi kiwango chake ambapo akiwa man utd hakuwa anafanya hivyo, yeye mwenyewe lukaku analijua. Na asipo work hard hapo italy, atatupiwa virago mapema sana, tena kule ubaguzi ndiyo usiseme.
Kichaa unacho wewe. English footballer james vardy umeona anahitajika na timu kubwa?! Na hajaanza kufunga leo. Lukaku hafai kwa level za man utdUna kichaa wewe ...
Yani top scorer wa team atupiwe virago , kwa taarifa yako kabakiza goli moja avunje record ya Ronaldo De LimaView attachment 1541015
EPL nzima striker wa level ya United ni Kane pekee? Hatari mzee.Nilisema Man united kumkosa Halland ilikuwa kosa kubwa sana yule ni pure striker tunayemhitaji pale united na anayeweza kutupa mafanikio kwa miaka 10 ijayo leo hii ukiwafuata Dortmund wakuuzie Halland lazima utoboke 100M.
Sokoni kuna wachezaji wachache sana wenye vipaji vikubwa siku hizi na kumpata unahitaji pesa kubwa sana kupoteza opportunity ya kumsajili yule dogo kisha tukaenda China kuchukua Septuagenarian lilikuwa tusi kubwa sana kwa united.
EPL striker pekee ambaye ni level ya united ni Harry Kane tu walau na Raul Jimenezi kama back up striker wengine wote siyo level ya united.
Ukija wing ya kulia kuna wachezaji mmoja tu anayeweza kuwa daraja la united naye ni Moh Salah pengine labda na Bernado Silva.
Hapo ndiyo unaweza kujua how far hatujafikia hatua ya kuota mafanikio.
Msimu ambao tutaanza kuona makombe ni 2021/ 2022 hapa ndiyo chemistry ya timu na huenda wachezaji anaowataka watakuwa wamekamilika.
Anasajilika United? Je Aguero anaweza shine akija United?EPL nzima striker wa level ya United ni Kane pekee? Hatari mzee.
Kwahiyo katika mbio za kiatu cha ufungaji bora Kane ni wa ngapi? Majina ya wanaojirudia kugombea hicho kiatu na yenyewe hauyajui au?
Kwamba hata Aguero pia ni andazi siyo level ya Man United?
Mrudisheni Ibrahimovic au Lukaku.
MwingerezaEPL nzima striker wa level ya United ni Kane pekee? Hatari mzee.
Kwahiyo katika mbio za kiatu cha ufungaji bora Kane ni wa ngapi? Majina ya wanaojirudia kugombea hicho kiatu na yenyewe hauyajui au?
Kwamba hata Aguero pia ni andazi siyo level ya Man United?
Mrudisheni Ibrahimovic au Lukaku.
Huyo ndo takataka kabisa.Martial size yake ni United?
Wanakwambia Lukaku mzito. Ila magoli anafunga tena ana miaka 26 tu.
Leo hii wanamtaka Dzeko mwenye miaka 30.
Nyie mnaopiga kelele za lukaku huwa nawashangaa sana, lukaku hakuanzia man u km tm kubwa kwake bali alianzia Chelsea na akafeli akaenda tm ndogo km ckosei Everton akaanza kushine kdg japo hakuwahi kuwa mfungaji bora wa ligi yyte kubwa lkn tukamchukua, na baada ya kumchukua akaanza kunenepeana huku akikosa magoli ya wazi kabisa pengine kuliko hata anayokosa chizi mwengine trashford au yule mzembe wa kifaransa Martial, leo ameenda inter ameshine kwa namna yake mnaanza kupiga kelele kwamba tulikosea kumuuza mnasahau kwmb presha iliyopo inter huwez kuifananisha na presha iliyopo utd, alikuwepo pale utd na wengi wenu mlikuwa mnalaumu kwamba ana kilo 100 kuweni serious hata kdg basi.Una kichaa wewe ...
Yani top scorer wa team atupiwe virago , kwa taarifa yako kabakiza goli moja avunje record ya Ronaldo De LimaView attachment 1541015
Media za Uingereza ni threat kwa wachezaji na coaches ambao hawako emotionally stable.Nyie mnaopiga kelele za lukaku huwa nawashangaa sana, lukaku hakuanzia man u km tm kubwa kwake bali alianzia Chelsea na akafeli akaenda tm ndogo km ckosei Everton akaanza kushine kdg japo hakuwahi kuwa mfungaji bora wa ligi yyte kubwa lkn tukamchukua, na baada ya kumchukua akaanza kunenepeana huku akikosa magoli ya wazi kabisa pengine kuliko hata anayokosa chizi mwengine trashford au yule mzembe wa kifaransa Martial, leo ameenda inter ameshine kwa namna yake mnaanza kupiga kelele kwamba tulikosea kumuuza lkn alikuwepo pale na wengi wenu mlikuwa mnalaumu kwamba ana kilo 100 kuweni serious hata kdg basi.
Km unajua unajua tu bro mbn wengi tu wanashine pale England na wanafuatiliwa kinoma na media za pale? Mchezaji bora cku zote hatishwi na presha kutoka popote pale, ukiona mchezaji anacheza hovyo eti kisa presha from third party basi juwa kuwa huyo ni average player.Media za Uingereza ni threat kwa wachezaji na coaches ambao hawako emotionally stable.
Nyie mnaopiga kelele za lukaku huwa nawashangaa sana, lukaku hakuanzia man u km tm kubwa kwake bali alianzia Chelsea na akafeli akaenda tm ndogo km ckosei Everton akaanza kushine kdg japo hakuwahi kuwa mfungaji bora wa ligi yyte kubwa lkn tukamchukua, na baada ya kumchukua akaanza kunenepeana huku akikosa magoli ya wazi kabisa pengine kuliko hata anayokosa chizi mwengine trashford au yule mzembe wa kifaransa Martial, leo ameenda inter ameshine kwa namna yake mnaanza kupiga kelele kwamba tulikosea kumuuza mnasahau kwmb presha iliyopo inter huwez kuifananisha na presha iliyopo utd, alikuwepo pale utd na wengi wenu mlikuwa mnalaumu kwamba ana kilo 100 kuweni serious hata kdg basi.
Kwahiyo unaachana na Lukaku kisha unajitamba kwamba hauhitaji striker (na humu watu waliunga mkono) kisha baada ya kugundua unahitaji striker unakuja kumsajili Ighalo?Km unajua unajua tu bro mbn wengi tu wanashine pale England na wanafuatiliwa kinoma na media za pale? Mchezaji bora cku zote hatishwi na presha kutoka popote pale, ukiona mchezaji anacheza hovyo eti kisa presha from third party basi juwa kuwa huyo ni average player.
Mkuu mie nadhani hili tatizo la uvivu linasababishwa na meneja wao,haiwezekani kila kitu kinaonekana kocha yeye kakunja nne kabisa wakati mambo hayaendi.Tulimkosa hata Ivan Perisic kivivu, ona kazi yake Bayern. Tupate pia wachezaji physique asee, wachezaji wetu wote wapo soft sana.