Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Mkuu sidhani walimzunguka Refa kwa sababu hiyo bali throw in ya upendeleo iliyopelekea goli. Mchezaji wa Seville aligusa mpira.
 
Wenzake wanamsikiliza, wanaona timu ndiyo hii, wamemaliza ligi wakiwa top 10. Sasa anawaambia hawakamatiki and blah blah blah hata pre season bado.
Usajili wa Willian umempa uwakika wa kuwa title contender msimu ujao..

Hahaha sema mkuu ulinichekesha sana hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Bora mlivyo tolewa na Sevilla mngekutana na Inter mngepasuka vibaya sana,hii combination ya Lukaku na Martinez ni hatari,jana kila mmoja alitupia magoli mawili.
 
Siwezi kukupinga mkuu! Kila mtu na mtazamo wake!
 
Hahahaha Aaron ni aina ya watu ambao watakupa uwakika wa kitu uku akijua kabisa ni hope tu anakupa [emoji23][emoji23][emoji23]

Eti Aaron Arsenal si kweli??

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Subiri mwisho wa Dirisha la Usajiri , nyie simnaleta utani [emoji23][emoji23]
Safari hii Nina kocha ,sio yule muhind,nashusha vyuma vitatu vya uhakika ,
 
Talent nyingi za America ya kusini hazijawahi kuwa na mafanikio United na wengi huchelewa sana kusettle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…