Wewe kombe lako liko wapi?Hili nalo unasimama mbele ya wanaume unaliia kombeukivuta bang* uwe unalamba na asali utakuja kunishkuru
hujakosea me sijawahi kumkubali huyu jamaaTushakubaliana kama Rashford ni welbeck aliyechangamka ...huyu dogo simpendi toka kipindi cha Mourinho
Yapo kwenye sehemu ya kuhifadhia makombeWewe kombe lako liko wapi?
Hili nalo unasimama mbele ya wanaume unaliia kombeukivuta bang* uwe unalamba na asali utakuja kunishkuru
Acha kujifariji mkuu. Hakuna bahati kwenye soka . Ukishindwa kutumia nafasi unazopata lazima utaadhibiwa tuHakuna mchezaji aliye cheza vibaya, timu imejituma mwanzo mwisho ila Sevilla wanabahati kwa Man u, Sevila wametengeneza nafasi chache sana, man u wametengeneza nafasi nyingi ila mpira uligoma kuingia wavuni.
Mbinu za kocha zilikua sahihi timu imeshambulia sana ikabaki mpira kuingia wavuni lakini haikua siku ya Man u. Kuna siku kwenye soka inakua ivyo.
Wewe hauko serious, kutoka kuchukua Europa na kuwa wapili kwenye ligi afu unasema mpo vizuri kwa kutolewa nusu fainali tena usajili kabambe ukiwa umeshafanyika? Au sijaelewa vizuri mpo vizuri katika lipi?!Timu ikifungwa mashabiki wana haki ya kukosoa na kulaumu na ata kocha ujiteteee vipi unaonekana unamapungufu. Hii timu ya Man u kwaleo imepoteza ila haikucheza vibaya.
Kule timu ilipokua mwanzo kwa sasa imepiga hatua kubwasana tatizo mashabiki wanataka makombe kwakua man u ni timu ya makombe. Hii timu kama haito vurugwa inaitaji misimu miwili irudi pale ilipokua na Fugerson na ina nafasi ya kutamba kwa misimu zaidi ya kumi. Uyu kocha ni sahihi kwa ii timu. Tuvute subra.
Bruno pasi zote anazotoa hazifanyiwi kazi yaani kiukweli striking force inamuungasha. Ole hatakiwi kulaumiwa maana walioshindwa kutumia nafasi walikuwa uwanjani ,, huku kwenye sub hakuna fighter yoyote ambaye angeleta mabadiliko. Ndio maana pale front 3 mbele hakuna mwenye mpinzani hadi kocha anajiuliza aweke nani.
Ole hata sub hawezimi nilisema hii timu huwa inashinda kwa mizuka tu ya wachezaji siku wakifurahi wanaupiga siku wakivurugwa ndo kama hivi.
Mi sijui tunacheza mpira wa aina gani kwakweli Ole hawezi kuipa hii timu hata kombe la carling hana huo uwezo ni hovyoo kabisa wahedii.
Tusubiri EPL sasa na mambo yatakua kama haya tu sioni mapya hata kidogo yanayokuja acha nilale nimestream sijui GB ngapi zimekata.
Mi ninachojua Arsenal tuna kombe mwaka huu