Si mnae Ighalo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787]Rashiford atakuwa hana sub...
Piga hao
[emoji23][emoji23][emoji23]Refa atatupa penati muda si mrefu.
Huu ndio ukweli, fullback za kisasa ni baller ,sio kupiga tackling tuIla wakuu pia tuache kudanganya..huyu bissaka nae hatoshi kuichezea utd..ni mchezaji mzr lkn wa timu ndogo