Ole inabidi awe mkali...Viletwe vitasaHatua Squad depth nzuri msimu ujao tunamechi nyingi zenye ushindani mkubwa kuliko msimu huu hivyo Ole anatakiwa ahakikishe timu inaimarishwa Sana kwenye kila namba uwanjani inatakiwa United ifike mahali Sub ikifanywa kinatoka kitasa kinaingia Kitasa sasa Sijui board yetu inafikiria nn kwenye hili, na tukikaa vibaya na injury zikatokea msimu huku yutarudi kulekule kwenye namba 6 na kutoka UEFa round of 16 yaani Squad depth ni ya muhimuno hichi ndo kipindi Ole anatakiwa aishawishi bodies ifungie pochi tufanye sajili za kibabe ili msimu ujao tusipate dhoruba za kukosa wachezaji tegemezi na timu kufanya vibaya
Ole inabidi awe mkali...Viletwe vitasa
Kwenda kuanza ligi na kikosi hiki sitochangaa tukawa hata nje ya top four au kuipata kwa mbinde
RW
RB
CDM
CF
Man City wana Mahrez,Bernado na Torres(New signing) on same spot..hivi hawa tutawezaje kushindana nao bila kufanya massive signings?
Kikosi kina wachezaji kumi na mbili.View attachment 1531396umegundua nini katika picha hii mechi ya Manchester United vs Bayern Munich mwaka 2001
Basi tu yan...i have this feelingKwanini unasema hivi?
NdioUnahisi sio
Roma wanajiandaa kusubmitt nid ingine kwa smallingCB hawezi kusajili smalling ushaambiwa anarudi
Aisee leo nahisi kama kabla siku haijaisha SANCHO ATAKUWA MCHEZAJI WETU..
GGMU GGMU
United tumefocus kwenye dili la Sancho sana kiasi kwamba tunaweza jikuta dirisha linafungwa tumefanya usajili mmoja tu, wakati bado tunahitaji wachezaji wengine sio chini ya wawili yaani CB, RW na RB na ikiwezekana Midfield moja ya kibabe (mkata Umeme) kama Partey au Ndidi ila EdWood na jopo lake wanakomaa na Sancho mwisho wa siku tutashindwa kusajili the right players,
Inatakiwa tujifunze kwa City wako wakitaka mchezaji dili haichukui wiki mbili tayari wameshasajili
Unadhani ni kwanini iko hivyo.Yaani pale England Man city ndo wako serious na usajili na pengine kidogo Chelsea wanajua wanataka nn, ila sisi na Wale Jamaa wa Nort london hatupo serious kwenye suala la kuboresha kikosi
Vipi Dean Henderson ?Tuzo ya kinda bora msimu huu apewe dogo Mason Greenwood kafanya makubwa sana ktk umri mdogo sana wa miaka 18 tu. Binafsi naona anafaa zaidi tena EPL wanapaswa kupunguza umri wa hii tuzo uwe unawalenga teenagers zaidi yaani iwe inatolewa kwa wachezaji wenye umri kuanzia miaka 19 kushuka chini na sio kuanzia miaka 24 kushuka chini.
Mtu aliyevuka miaka 21 huyu sio kinda kiufundi huu ni umri wa mwanzo kwa mchezaji kuanza kucheza kiutu uzima. Messi alichukua tuzo ya mchezaji bora wa dunia akiwa na miaka 22 tu, wakati Cristiano Ronaldo alichukua akiwa na 23. Hoja yangu hapa ningependa kuona tuzo za kinda bora ziwe zinatolewa kwa wachezaji wenye miaka kumi naa. Just imagine mtu kama Anthony, Marcus, Trent, unawaweka kundi moja na kijana aliyecheza msimu mmoja tu kiushindani kutokana na kuwa na umri mdogo nyuma kama Mason. Hao watatu wamecheza zaidi ya misimu mitatu wote fulltime as regular players ktk vikosi vya kwanza.
Nje ya Mason (18) , karata yangu naweka kwa Arnold (21) ktk hao wakubwa wenzie aliobaki nao yeye kafanya vizuri zaidi kuliko wote waliokuwa nominated hapo.
Yaani pale England Man city ndo wako serious na usajili na pengine kidogo Chelsea wanajua wanataka nn, ila sisi na Wale Jamaa wa Nort london hatupo serious kwenye suala la kuboresha kikosi
Yaani umuuze Rojo umsajili Evans na kumrudisha Smalling hahahahaha kweli akili za Muafrica ndio maana hatuendelei.Ningekua Ole kwenye Usajili msimu huku ningefanya maamuzi haya kwenye kila idars uwanjani
Goal keeper
Namuongezea mkataba Dean Henderson halafu namrudisha kwa mkopo tena Sheffield msimu mmoja tena,
DEffenders
Nauza Jones, Rojo, halafu nafanya maamuzi magumu ya kuamua kubaki na Smalling au nimrudishe John Evans(msishangae ila Evans amekua bora zaidi saivi) aje asaidiane na CB zilizopo maana Dili la kuolibaliy ni gumu sana Napoli wanataka hela Mingi,
Dalot bado tunamuhitaji sana kila kama itatokea kuna beki ingine sokoni nzuri nitauxa Dalot na kumleta mtu wa kusaidiana na Spiderman Bissaka.
Midfield
Tunahitaji kiungo yenye Roho mbaya mithili ya Fernandihno hapa ningemchukua Ndidi au Partey au tu naenda Intermilan tunamchukua Brozovic,
Winger ni Sancho wakuongeza,
Striker,
Pale mbele Naona kama Martial na Greenwood wako njema kila wanahitaji goal getter mashine yenye uzoefu zaidi na wakuwapa ushindani madogo, pengine nisingeona Aibu kumchukua Veteran mmoja kama Mandzukic au Ciro Immobile au Dzeko
Mkuu huwezi kuwa serious ...kabla ya ban Chelsea ilikuwa na shida ya no.9 wkt ule wa sarri ndo maana akaja timo, Chelsea ilikuwa na shida ya creative midfielder baada ya kuondoka cesc( 90% kai) ... Alivyoondoka hazard tulitegemea odoi atastep up lkn ameshindwa kufikia matarajio ndo maana wameletwa kina ziyech na pulisic.....sahv kuna tetesi za CB , GK, na LB ...wakina john stones, Jose gimenez, Sergio reguilon, chilwell, n.k.[emoji23][emoji23]
Kwangu Chelsea hawajui wanachotaka, wameongeza watu bila kuzingatia mahitaji
[emoji23][emoji23]
Kwangu Chelsea hawajui wanachotaka, wameongeza watu bila kuzingatia mahitaji
Tututrururuuuuuuu,
Yaani umuuze Rojo umsajili Evans na kumrudisha Smalling hahahahaha kweli akili za Muafrica ndio maana hatuendelei.
Tatizo huku byuma hawana beki itafika kipindi Werner au Ziyech wacheze kama mabeki,
Sijui lampard anafikiria nn kuhusu mabeki wake hahahaha