Pirlo amekuwa confirmed kuwa manager wa Juventus
Pole yao★Chelshit chakwanza Penalty Lewandowskitaaabu naiona★
Pole yao
Ni dogo tu mkuu, kwenye soka kuna sababu nyingi za kuita mtu/timu madogo
Inawezekana kimiaka mimi kwangu ni dogo, inawezekana kimuonekano pia ni dogo
Hata timu ndogo watu wanaziita madogo bila kujali average age zao
Kuna mtu nilikuwa naongea naye juzi akawa ananiambia wale madogo (LASK) tutawapiga nyingi, japo kiumri wamewazidi wachezaji wa United lakini tuliwaongelea kama madogo na tukaelewana
So hata Lingard sioni shida kumuita dogo
Huyu Koulbaly ndio anayeuzwa bei ghali
Kama kawaida yako ushapotea utarudi baada ya siku 2 au 3Angalia leo tunaenda mnywa bayani goli za kutosha..
Meza inapinduliwa kibabe leo..
Sisi sio madrid au Juve
Game itaisha ivi..
Bayan 1-4 Chelsea
Amini Kwamba
#CFC
Vice-versa is true. 😂Angalia leo tunaenda mnywa bayani goli za kutosha..
Meza inapinduliwa kibabe leo..
Sisi sio madrid au Juve
Game itaisha ivi..
Bayan 1-4 Chelsea
Amini Kwamba
#CFC
Kwanini unasema hivi?Aisee leo nahisi kama kabla siku haijaisha SANCHO ATAKUWA MCHEZAJI WETU..
GGMU GGMU
kwani wiki 6 zimeshatimia tokea tuhusishwe na usajili wa sancho?Sancho kutua united ni suala la muda tu.
Unahisi sioAisee leo nahisi kama kabla siku haijaisha SANCHO ATAKUWA MCHEZAJI WETU..
GGMU GGMU
CB hawezi kusajili smalling ushaambiwa anarudiUnited tumefocus kwenye dili la Sancho sana kiasi kwamba tunaweza jikuta dirisha linafungwa tumefanya usajili mmoja tu, wakati bado tunahitaji wachezaji wengine sio chini ya wawili yaani CB, RW na RB na ikiwezekana Midfield moja ya kibabe (mkata Umeme) kama Partey au Ndidi ila EdWood na jopo lake wanakomaa na Sancho mwisho wa siku tutashindwa kusajili the right players,
Inatakiwa tujifunze kwa City wako wakitaka mchezaji dili haichukui wiki mbili tayari wameshasajili