Manchester United (Red Devils) | Special Thread

swala hajawahi kuwa mchezaji wa mpira japokuwa kuna kipindi alianza kuniogopesha, nimefurahi sana kabla ya kumalizika kwa msimu tulipata mbadala wake

by: haters aliyeiba account ya daemusin
Hahahaha Daniel James ili acheze vizuri ni pale timu pinzani itakapompa space ya kukimbia sana bila hivyo hana la ziada.
 
Hahahaha Daniel James ili acheze vizuri ni pale timu pinzani itakapompa space ya kukimbia sana bila hivyo hana la ziada.
hahahahahahaaaaaa
============================
kabla ya mwezi december bwana james alikuwa ni mchezaji wetu muhimu sana (bado naikumbuka performance yake dhidi ya southampton, alifunga goli zuri sana, ndiye mchezaji pekee aliyekuwa akionyesha uhai siku ile licha ya soton kucheza pungufu kwa muda mrefu).

  • alianza kuonyesha hatari sana kwa kushots mipira ya mbali
  • alikuwa hatari sana pindi anapo cut inside hususani akitokea kushoto
  • high speed especially kwa kukimbia ndani ya box (ndiye alikuwa akiongoza kwa kufanyiwa rafu)
  • alitengeneza nafasi na kufunga(mwezi august alifunga magoli 3)
james alileta faida kubwa sana kipindi yupo onform, bahati mbaya sana kipindi ambacho yeye yupo vizuri wachezaji wenzake hawakuwa kwenye viwango sahihi(lingard, perreira), wengine walikuwa majeruhi (pogba baadae rashford) na wengine bado hawakuwa tayari kucheza soka la ushindani (fred na matic).

kama ulivyosema hapo juu james anapendelea zaidi mpira wa free space na ndio muujiza pekee anaoutegemea na kibaya zaidi timu za uingereza zinaufahamu udhaifu wetu (hatuwezi kutake advantage kiuarahisi kwa team zinazoweka 2 low block)

kwa nini amekuwa akiwaonea man city?
jibu umeshalijibu hapo juu

kwa mustakabali wa career yake, daniel anapaswa apambane kwa sababu bado ana muda wa kujifunza zaidi, kufeli kwake mwishoni pia ni faida kiupande fulani kwa sababu tutashuhudia ingizo jipya la winga

na daniel james atakuwa ni additional squad player kama shaqiri na liverpool yake.
kama vipi tuwape dortmund wamtengeneze kwa msimu mmoja
 
Sim-judge sana JAMES kwa 7bu ametokea CHAMPIONSHIP na huu ndio msimu wake wa kwanza UTD(PREMIER LEAGUE) lets give him time tuone ataimprove kwa kiasi gn..

Hata sterling wa Liverpool ni tofauti kabisa na Sterling wa mancity..its just a matter of time
 
Sim-judge sana JAMES kwa 7bu ametokea CHAMPIONSHIP na huu ndio msimu wake wa kwanza UTD(PREMIER LEAGUE) lets give him time tuone ataimprove kwa kiasi gn..

Hata sterling wa Liverpool ni tofauti kabisa na Sterling wa mancity..its just a matter of time


Sterling wa Man city amekua nzuri sababu ya Guardiola amemtengeneza wala nakuja lingine, tatizo la James ni kwamba bado anahitaji training na kocha wa benchi la ufundi ambao wataweza kufanya kiwango chake kiwe bora zaidi,
Wachezaji wengine wanavipaji vizuri tu kila inahitajika training za makocha kuwashape wawe kwenye world class requirements kama mdau alivyoshauri hapo juu tutafute timu kama Dortmund au timu kama Ajax aende akatengenezwe msimu mmoja then akirudi atakua kwenye kiwango kizuri sana.
Chukua mifano ya hawa watu
KDB alibyoenda Wolfsburg alienda kutengenezwa akawa mashine ila kabla alikua talented but not a top player kama James wa saiv au Sancho alivyokua City ni tofauti na huyu wa Dortmund,
 
Ni sawa..ndo maana nikasema tumpe muda dogo maana ametoka ligi changa..anahitaji muda kuAdapt...na ht akitolewa kwa mkopo itakuwa vzr zaidi maana atapata gametime ya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…