Ni kweli lakini binafsi naona Inter ni tishio zaidi. Wolves ni kweli kawafunga ila mara ya mwisho mlisuluhu naye na Bruno hakuwepo, next time mkikutana naye naamini mna fighting chance kubwa kuliko mwanzo.Brother wolves wametupiga mara nyingi ujue kuliko hata tulivyowapiga..ni wasumbufu sn.
Wewe ni mbumbumbu, punguza u-much know na kuwaita mpaka wenzio humu hawajielewi, wakati wewe mwenyewe ni empty setKubali umekosea pumba ww..usitafute njia za kujustfy ujinga wako
heeeee fundi wa mpira kaondoka bure
aende barca tu kumrithi messi
Lingardinho to Ole "why you subbed me off I would have scored a double hatrick today"hyu kocha ana sub za kimama sana lingardinhol kawaka yeye ndio anamtoa si otopolo huu
Hata mazoezini wanaumia, injuries ni kama ajali tu hujui muda gani au siku gani...Mchezaji kuumia mchezoni ni sehemu ya kazi yake na ni bahati mbaya huwezi kumweka benchi kwa kuogopa atapata injury kwani mchezaji kasajiliwa kwajili ya kukaa Benchi asipate injury ?
Angemuacha dogo aendelee kupata uzoefu.Ole alichemka jana kumtoa dogo, alicheza vizuriView attachment 1528460
huyu wa south africa hata clip zake youtube hakuna
Fair comment
Kuna kitu paul scholes alikizungumzia..sijui km ulikiona mkuu..Ole alichemka jana kumtoa dogo, alicheza vizuriView attachment 1528460
Hatacheza Europa huyu.
Hatacheza Europa huyu.
Cuz mkataba mpya unaanza msimu ujao..au mnasemaje wazee..!?
Angemuacha dogo aendelee kupata uzoefu.
Dogo anakipaji azidishe utulivu, atakuwa hatari.
Lingard hakui.
Kuna kitu paul scholes alikizungumzia..sijui km ulikiona mkuu..
Paul anahisi ile ni dalili dogo atauzwa..
Mwanini mnamwita Lingard "dogo"Ole alichemka jana kumtoa dogo, alicheza vizuriView attachment 1528460
Halafu anakaa kwao
Dogo Jana katana nywele, kapaka mafuta na kachomekea saafiiiiOle alichemka jana kumtoa dogo, alicheza vizuriView attachment 1528460
Kuna kitu paul scholes alikizungumzia..sijui km ulikiona mkuu..
Paul anahisi ile ni dalili dogo atauzwa..
Lingard co dogo wakuu, ni mkubwa kuliko pogba, ni mkubwa kuliko Bruno, ni mkubwa kuliko Bissaka, nahisi pia atakuwa mkubwa kuliko Maguire, ss huo udogo ni kwasabu ya kiwango auu?Scholes mzinguaji, eti anasema Lingard na Fred wauzwe, sijui kafikiria nini kusema Fred auzwe
Lingard kutolewa jana haina mahusiano na kuuzwa kwake
Kwenye kikao na Waandishi wa Habari kabla ya mechi ya jana dhidi LASK ya Ole aliwakilisha klabu na Lingard
Ilivyo, akitokea mteja aliye serious dogo atauzwa lakini haina mahusiano na kutolewa jana