umeandika pumba hujui mpira + mahaba, unazungumzia mwalimu sahihi while Arteta miezi 7 tayari ana taji,wewe wako ana nini kwa muda wote au kufuzu Uefa?[emoji3][emoji3][emoji3]Ukweli ni kwamba Man United naye hayuko kwenye hali yake ya zamani lakini occasionally amekuwa akitokea kwenye mashindano makubwa.
Kuhusu transfer Man united nao kuhusu kuvutia vipaji imepungua lakini financial muscles zao zinawapa uwezo wa kusajili wachezaji wanaowataka.
Hali ya matokeo uwanjani kwa Arsenal imegeuka kuwa hali ya kawaida Arsenal kufungwa na timu kubwa au ndogo siyo habari tena ushindi kwa Arsenal sasa hivi ni bahati tena siyo uwezo wa team. So sad.
Kilichoziangusha hizi timu Arsenal imeanguka kwa kukosa mwalimu sahihi ila wachezaji wazuri bado wanazalisha kama ilivyokuwa zamani.
Kilichowaangusha Man united ni kukosa succession plan nzuri iliyopelekea recruitment mbovu ya benchi la ufundi na wachezaji kwa miaka 6 mfululizo.
Tuendelee kuwa wavumilivu mpaka tutakapouona tena mkono wa bwana.
Wivu mkuu,kutoka kapa mchezo nini![emoji1787][emoji16]Leicester ana nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kuchekesha mzee mwenzangu
Ungelitwaa na wewe sasa km una uwezo, si una wachezaji wa £100m [emoji3][emoji3]Kombe la FA lilishakuwa kombe la Arsenal hivyo siyo suala la ajabu kutwaa.
Wigan alitwaa kombe hilo na akashuka daraja
Europa imeisha mkuu?umeandika pumba hujui mpira + mahaba, unazungumzia mwalimu sahihi while Arteta miezi 7 tayari ana taji,wewe wako ana nini kwa muda wote au kufuzu Uefa?[emoji3][emoji3][emoji3]
Kubali umekosea pumba ww..usitafute njia za kujustfy ujinga wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alafu haka kaugonjwa kakuwaona wenzio hawajielewi, hawajui lolote unako sana,
Hakatokufikisha popote, [emoji23][emoji23]
Humu hatujuani personally, waweza mwambia mtu 'hajielewi' kumbe ndio shemeji yako aliyekupa hifadhi na hako ka-smartphone unachotumia kutema huo upupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
Huyu Maguire hapumzishwi jamani?..Angetuwekea Teden Mengi,aache uoga bhanaLine up yetuView attachment 1528154
Huyu Maguire hapumzishwi jamani?..Angetuwekea Teden Mengi,aache uoga bhana
Hawa wapiga kelele waache Arteta atawanyoosha tuumeandika pumba hujui mpira + mahaba, unazungumzia mwalimu sahihi while Arteta miezi 7 tayari ana taji,wewe wako ana nini kwa muda wote au kufuzu Uefa?[emoji3][emoji3][emoji3]
Maguire ana nini sasa mpaka apumzishwe ni average player achezeshwe ili apate match fitnessHuyu Maguire hapumzishwi jamani?..Angetuwekea Teden Mengi,aache uoga bhana
Jesus Christ..Maguire ana nini sasa mpaka apumzishwe ni average player achezeshwe ili apate match fitness
Unazani kwanini kocha kampanga we huoni wachezaji wa maana wamepumzishwaJesus Christ..
I feel u brother..sometimes ni bora kunyamaza kuliko kuwajibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jesus Christ..
Kulingana na maelezo ya ole kwny press conference amesema ataangalia tutachezaje then ataweka watoto wa academy..so hiki kikosi kikiongoza kwa 2 au 3 goals labda tutaona watoto wengi wakiingia kucheza..Line up yetuView attachment 1528154
OutdatedOi..Mancity ameshamchukua NATHAN AKE huko..Sky sport wamepost sasahivi
Sisi man u ngoja tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka na kuvaa barakoa.