Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapana , Sanchez hajakubali kupunguza mshahara ila hiyo wages Euro 7m alikuwa akilipwa every year nje ya mshahara. Yaani jamaa alikuwa mchezaji hewa ndani ya club. Kiukweli Mourinho alichokifanya yaani Mungu anamuona
Mkuu..mwaka wa kwanza atalipwa full..ila inayofuata atapunguza mshahara.
 
Jamaa wamepiga pesa ndefu sana,
Hivi Man City waliweka mipengele cha kupiga pesa kupitia huyu mchezaji?
Wachexaji wote wa academy 2anapouzwa huwa kuna kipengele kama hiki kinawekwa...

Mfano KEANE(beki wa everton) ni product ya academy yetu na everton walipomnunua kutoka klabu gn sijui(nimeisahau) kuna mpunga tulipata.
 
Napata wasiwasi wa uwezo wako wa kuchambua mambo mkuu..kaangalie hilo neno lilivyotumika kwny hiyo sentensi.
 
Bado kuna robo fainali,nusu fainali na fainali..Pogba atacheza

Hakuna haja ya kumtumia wakati hata tukimpanga Mata bado uwezo wa kuwatoa LASK upo..


Na tukumbuke ligi inarudi 12 september
Kaka..huyu jamaa haelewi muache tu..utapoteza nguvu zako bure.
 
Napata wasiwasi wa uwezo wako wa kuchambua mambo mkuu..kaangalie hilo neno lilivyotumika kwny hiyo sentensi.
Huna haja ya kuwa na wasiwasi huyu corona ameshanipotezea ndugu mimi[emoji24][emoji24]
Siwezi kuishukuru corona katika mazingira yoyote yale.
 
Huyo kazi yake ni ku-troll tu..hajui ht anachokifanya.[emoji23]
Alafu haka kaugonjwa kakuwaona wenzio hawajielewi, hawajui lolote unako sana,
Hakatokufikisha popote, [emoji23][emoji23]
Humu hatujuani personally, waweza mwambia mtu 'hajielewi' kumbe ndio shemeji yako aliyekupa hifadhi na hako ka-smartphone unachotumia kutema huo upupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…