Acha masihara wewe jamaa wakishinda 6-1 wanapita wao ujueOle kesho awaache First eleven nyumbani kabisa..Something like this itakuwa sio mbaya,
Romero
Laird Bailly Mengi Mensah
Scot Fred Garner
Jesse Ighalo James
Yaani tufungwe 6 na LASK??..Acha masihara wewe jamaa wakishinda 6-1 wanapita wao ujue
Kwa kikosi ulichotaja wanawezaYaani tufungwe 6 na LASK??..
Yaani ndani yupo Scot,Fred,James,Ighalo,Lingard,Bailly,Fosu Mensah na bado ufungwe 6 na LASK?..huu utakuwa ni zaidi ya utaniKwa kikosi ulichotaja wanaweza
1.RomeroYaani ndani yupo Scot,Fred,James,Ighalo,Lingard,Bailly,Fosu Mensah na bado ufungwe 6 na LASK?..huu utakuwa ni zaidi ya utani
Kwahiyo wewe kesho ungepangaje?
1.Romero
2.dalot 4. Bailly 5.lindelof 3.william
6.Fred 8.scot
7.pereira. 10.pogba 11.james
9.ighalo
Nadhani msimu ujao, Team A icheze UCL na EPL.Hadi Pogba,akipata injury kwenye hizi mechi uchwara tuanze tena kulialia..
Sawa mkuu,ngoja tuone kesho hiyo
Never on earth!! Yani watufunge sita wale jamaaAcha masihara wewe jamaa wakishinda 6-1 wanapita wao ujue
Pogba anapumzishwa..1.Romero
2.dalot 4. Bailly 5.lindelof 3.william
6.Fred 8.scot
7.pereira. 10.pogba 11.james
9.ighalo
Hakuna kupumzisha game bado haijaishaPogba anapumzishwa..
Kama hutaki unaacha..sikulazimishiHakuna kupumzisha game bado haijaisha
Pogba hatacheza hata akicheza hatacheza dkk 90 lazima apumzishwe kwa ajili ya msimu ujao..hii game tumeshashinda goli 5 haina haja ya kurisk wachezaji wetu muhimuHakuna kupumzisha game bado haijaisha
Sure..msimu ujao Ole inabidi acheze karata zake vizuri,otherwise fatigue itatusumbua sanaNadhani msimu ujao, Team A icheze UCL na EPL.
Team B icheze Carabao na FA.
Teden Mengi atamuondoa Tuanzebe pale Man united.Makinda wamo piaView attachment 1526995
CM wa nini ?Inawezekana..lkn man utd itakuwa trolleed sana..
But i have faith on OGS na SANCHO pia..
Pia OGS atuongezee CF na CM..itakuwa poa sana..
Kwenye EPL ukiondoa Fernandinho na Fabinho nani anaweza kumfikia Matic na Scot ?Ni kweli maana ukiangali pale
FRED,MC TOMINAY NA NEMANJA sio wa kuwaamini sana...ingawa sometimes huwa wanaperform vzr kbs..
Najiuliza hivi haiwezekani tukamuiba Thiago alcantara!?
Embu imagine utatu wa Thiago Pogba na Bruno..alaf mbele tuna Rashford,martial na Sancho..uwiii