Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
MwanaSpoti
Mburura huyo muache..Eti'MwanaSpoti
Original source kama Skysport,BBC sports ndo zinazotakiwa..
Hili sio tangazo..ni taarifaSource nini usiweke tangazo bila source
Inawezekana..lkn man utd itakuwa trolleed sana..Media za UK zitambeba..si unajua ni mtoto wa nyumbani??
True,tukishampata Sancho tutafute CF..CB,Smalling anaweza kurudi maana inter wameshindwa kutoa £18mInawezekana..lkn man utd itakuwa trolleed sana..
But i have faith on OGS na SANCHO pia..
Pia OGS atuongezee CF na CM..itakuwa poa sana..
Huyo ametumia sarcasm kumjibu..hamkumuelewa....Eti'MwanaSpoti
Original source kama Skysport,BBC sports ndo zinazotakiwa..
Chief..kwnye midfield tuna Quantity lakini hatuna quality ya kutosha..tunahitaji midfield mmoja tu mwenye Quality ili awe back up ya kina pogba na brunoTrue tukishampata Sancho tutafute CF,eneo la kiungo tuko loaded..CB Smalling anaweza kurudi maana inter wameshindwa kutoa £18m
Edit hiyoHuyooo
Hata mimi naona hivyo..tunahitaji CM bora kabisa,lakini why tusiwe tunafanya biashara hata za kufosi kuondoa mtu na kureplace..tunakuwa na wachezaji wengi wenye viwango vinavyofanana(average perfomance+Poor perfomance) na bado wanavuta mpunga wa kutosha...Maana ukisajili CM mwingine bila kumuondoa Fred mapema hapo sijui utakuja kumuondoa lini maana hata game time hatakuwa hanaChief..kwnye midfield tuna Quantity lakini hatuna quality ya kutosha..tunahitaji midfield mmoja tu mwenye Quality ili awe back up ya kina pogba na bruno
Smalling alikuwa roma mkuu sio inter..i blv umechapia kidogo hapo..
Ni kweli maana ukiangali paleHata mimi naona hivyo..tunahitaji CM bora kabisa,lakini why tusiwe tunafanya biashara hata za kufosi kuondoa mtu na kureplace..tunakuwa na wachezaji wengi wenye viwango vinavyofanana(average perfomance+Poor perfomance) na bado wanavuta mpunga wa kutosha...Maana ukisajili CM mwingine bila kumuondoa Fred mapema hapo sijui utakuja kumuondoa lini maana hata game time hatakuwa hana
Tupo loaded na weak playersTrue,tukishampata Sancho tutafute CF..CB,Smalling anaweza kurudi maana inter wameshindwa kutoa £18m
CM..ila kiungo kipo loaded(Scot,Fred,Matic)..
Tupo loaded na weak players