Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jezi za Madrid ni nzuri hatari.
 
wasemavyo wenyewe:
Letting Sanchez leave for free and saving 60M on two years salary is just great business
=========================
don woodward amecheza kama pele, au amezingua?
View attachment 1526630
Kutengeneza tatizo halafu unalitatua

Inter ndio wamefaidika kwenye hilo deal

1.Sanchez kacheza kwa mkopo Inter for free(hakukuwa na loan fee) na majority ya mshahara wake ulikuwa unalipwa na United

2.Baada ya kutoka majeruhi Sanchez ameanza kurudi kwenye form (4goals &8 assist) in Serie A kwenye mechi 22 alizocheza so kwao wanapata mchezaji atakayewasaidia

3.Sanchez amekubali kupunguza mshahara hadi Euro 7m kwa mwaka

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Wazee wa free agents, sasa hivi wanamvizia Willian

Huyo Partey wamekwamia kwenye €25M

Unawezaje kuwa competitive kupitia free agents

Unawezaje ku compete na timu inayonunua winger kwa £80+ M na wewe unapata winger kwa £0 halafu utegemee kupambana naye
 
Arsenal wameshatoka kwenye level ya timu kubwa huenda hata kuvutia vipaji vikubwa duniani imeanza kupotea tofauti na miaka ile .
 
Sio kila biashara huwa inatiki, nyingine ni bora kukubali nusu hasara

After all Ed hakulipa hata senti alipomtoa Arsenal
wasemavyo wenyewe:
Letting Sanchez leave for free and saving 60M on two years salary is just great business
=========================
don woodward amecheza kama pele, au amezingua?
View attachment 1526630
 
Arsenal wameshatoka kwenye level ya timu kubwa huenda hata kuvutia vipaji vikubwa duniani imeanza kupotea tofauti na miaka ile .
Wanapenda sana vitu rahisi hawa jamaa, kwangu mimi walianza kuwa timu ndogo walipoanza kumnunua Silvestre kutoka United kwa £300,000 (laki 3
)

Wakauza RVP kwa timu ambayo mna compete naye kwenye ubingwa

Wakauza akina Song, Cesc n.k.

Hizo biashara huwa wanafanya timu ndogo kama Everton, Westham na Watford

Miaka ya hivi karibuni, wamekuwa wakivizia free agents tu

Kolasinic

Lichtstaner

Now Willian

Nakubaliana kwamba gunners amekuwa timu ya kawaida sana a.k.a timu ndogo
 
Hahaha nilimwambia Dully Jr msimu waliomuuza Song, Fabrigas na RVP waliondoka rasmi kwenye top level.

Kuna msimu Man city alinunua wachezaji watano wa Arsenal na hii ndiyo ilikuwa ticket ya kumkabidhi rasmi Man city nafasi yao ya kuwa timu kubwa.
 
Kabisa hutakiwi kumuuzia kifaa your direct rival (unless you consider him not your direct rival)

Na itawachukua muda mrefu sana kuregain hadhi yao na timu kubwa sasa hivi zimeongezeka mbili zaidi hivyo wao wataendelea kuwa mid level kwa misimu kadhaa ijayo.
 
At the end, msimu umeisha kila mtu aoneshe alichopata

Acha kupiga kelele wakati huko BvB munalialia mlipe kwa installements

Kama mna pesa si mngefungua pochi

Vipi Ighalo mmelipa ngapi vile?
Sanchez anawatoa povu huko, kawapiga za kutosha, nyie ni watu wa kupigwa....

Na next season unakaa tena home and away

Onesha ulichopata msimu huu kama ni empty basi huu uliotype hapa ni utopolo tu
 
Arsenal wameshatoka kwenye level ya timu kubwa huenda hata kuvutia vipaji vikubwa duniani imeanza kupotea tofauti na miaka ile .

Japo nakubaliana na wewe, Ila Manchester haipo kwenye level ya kuicheka Arsenal kwa sasa. Haujabeba Epl since 2013 ni miaka 7 hiyo.Haya mambo huanza hivihivi unakuta miaka 20 imefika.Nina uhakika unajua msimu ujao huna uwezo wa kuchukua na akina Maguire na De Gea.

Level zako Ulaya ni EUROPA unajua hilo.Ukibahatika kufika round ya 2 UEFA ukikutana na akina Bayern unajua fika unatoka.

Arsenal na Man kwa sasa hakuna wa kumcheka mwenzake tumebaki kuhangaika na Europa na FA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…