Maguire (?)
Lindelof (no consistency)
Baily (injury prone)
Tuanzebe (*)
Jones (far away from being the best)
Smaling (on-loan)
Premier League
UEFA Champions League
FA Cup
Carabao Cup
mi nadhani huyu mkurugenzi wetu achunguzwe kwa fraud kwenye hizi pricing the wachezaji wanaonunuliwa na man u.Hili suala la kwamba klabu yetu imezubaa kwenye mambo ya usajili hata mimi naliona sana.
Na hatuwezi kusema kwamba tunafanya hivyo kwa lengo lolote zuri kwa sababu hata bei tunazouziwa wachezaji kimsingi ni za juu.
Tunakua kama sio ''matajiri''....
Tunabembeleza mno...
Hatuamini sana katika msemo ''biashara ni asubuhi, jioni mahesabu''...
Hakika hii sio Giant mentality.
Hakika, tukipata backup ya kueleweka tutakuwa vizuri sana.Ni kweli tunahitaji backup ya mtu mmoja wa kueleweka hapo kwenye ukuta, Ake lilikua chaguo sahihi ila sasa wajanja wameshatuwahi.
mi nadhani huyu mkurugenzi wetu achunguzwe kwa fraud kwenye hizi pricing the wachezaji wanaonunuliwa na man u.
Ila huwa tupogo hv miaka yote, rejea usajili wa ronaldinho tulizubaa mpk akachukuliwa, berbatov hvyo hvyo mpk cku ya mwisho, hata kina veron tetesi wee mpk unachoka yn man inaboa sn kwny usajili we ngj uone huo usajili wa Sancho km hajachukuliwa mwishoni au utasikia ameenda Madrid cz Woodward amehitilafiana na wakala wake kwenye suala la malipoUzoefu unaonesha huwa tunachukua wiki 6 kukamilisha dili moja
Rejea usajili wa AWB, Maguire na Fernandez, kila mchezaji ilichukua wiki 6
Ed kwenye transfer yupo very skow
Man huwa inahusishwa na wachezaji wote duniani mpk wa yanga★Sky Sports | Manchester United monitoring Lille's player of the year Gabriel Magalhaes. He's a 22-year-old centre-back his price is in the region of £20m.★
manutd | View attachment 1521549
Inakera sanaKimsingi kwa sasa naacha kufuatilia tetesi za usajili za man u cuz kila siku utasikia tunamtaka mtu huyu na yule lkn huoni progress..stress tupu.!
Wacha mambo yako mkuu huyo drink water ni mchezaji wa tm ndogo usisikilize maneno ya waingereza.Ivi wakuu hatuwezi kumuuza pogba tukamchukua dany drinkwater?
Jimenez yuko vzr kuliko Martial, style yake huwa namfananisha na Suarez wa LiverfoolRaul JimenezView attachment 1522036
Management is Clueless.Hili suala la kwamba klabu yetu imezubaa kwenye mambo ya usajili hata mimi naliona sana.
Na hatuwezi kusema kwamba tunafanya hivyo kwa lengo lolote zuri kwa sababu hata bei tunazouziwa wachezaji kimsingi ni za juu.
Tunakua kama sio ''matajiri''....
Tunabembeleza mno...
Hatuamini sana katika msemo ''biashara ni asubuhi, jioni mahesabu''...
Hakika hii sio Giant mentality.
Ni kweli tunahitaji backup ya mtu mmoja wa kueleweka hapo kwenye ukuta, Ake lilikua chaguo sahihi ila sasa wajanja wameshatuwahi.
Haya ni matatizo ambayo hatuwezi hata kuyatatua kama wamiliki wa club hawako tayari kufanya mabadiliko.Matatizo ya United ni yaleyale kila siku.
1. Hakuna Director of Football.
2. Ed Wooodward.
3. Owners.
Tukishinda tunasahau shida zetu.
Hii ni kwa ajili ya Tangazo la Nike