Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man united haifanyi usajili kwa kukimbizana na plastic clubs kama Chelsea na Man city mkuu.
Brother..kiuhalisia CHELSEA na CITY wako serious sn kwenye usajiri kuliko UTD..no wonder mmoja wao akabeba EPL kabla yetu ss..huo ni ukweli mchungu..!
 
Unakuwa kama vile umeanza kushabikia united kipindi Bruno kasajiliwa mkuu.

United huwa inahusishwa na kila mchezaji wa dunia hii hata kama united hawamjui hata mchezaji husika.
Ndugu yangu unafikiri hata nimeweza basi
sasa hivi ni saa tisa usiku na nimetoka twitter kuangalia updates za club km kuna mtu tumeshanunua..kimsingi hii club itaniua
 
Tulia mkuu kusajili tutasajili tu ngoja kwanza plastic clubs wamalize kufanya usajili.
 
Tulia mkuu kusajili tutasajili tu ngoja kwanza plastic clubs wamalize kufanya usajili.
Tukubali kwamba mfumo wetu wa usajiri unamatatizo.
Kumbuka makocha wote waliopita wamelalamikia tatizo la kutopata wachezaji waliowahtaji, vangaal, moyes, mournho.
hata huyu OGS sema ni reserved person tu, lakini it is very frustrating when running a process everybody is running quite easily becomes something like a rocket science.

Hivyo sikubaliani na wewe kwenye swala la kusubiri club zingine zimalize usajiri ndio na sisi tu-ighalo.
 
Tatizo lipo kimsingi, we are very slow in signing players

Sijui kama kunamahusiano na kukosa Director of Football, lakini kwa kweli club yetu inazingua sana kwenye kusajili

Juzi baada ya mechi ya Leicester OGS alisema let's hope this summer tutakamikisha mapema usajili
 
*** you Charlie Nicholas with your grade C+

Tulikuwa wabovu kwenye mzunguko wa kwanza,kuanzia mzunguko wa pili tumebadilika sana..Jamaa haoni improvement yoyote.

This guy real hates United






View attachment 1521648
C+ is reasonable rating for United this season

1.Tumemaliza na point 66 sawa na msimu uliopita ambao tulishika no 6 kwa point hizo hizo.Moyes our worst manager alimaliza na point 64

2.Tumetumia paund 200m kwenye usajili linganisha na Liverpool,City, Leicester,Chelsea

3.Bingwa ametuzidi 33 points anayefuatia katuzidi point 15



Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Ole hajawahi kulalamikia usajili, kesi ya Mourinho ni tofauti hata kama mmi ningekuwa Woodward ningemnyima hela za usajili.

Van Gaal no comment

Moyes was a failed project even he was given the job.
 
Ni ukweli usiopingika kuwa plastic clubs ndiyo ziko busy sokoni sasa hivi
Maoni yako kama yanakuja yanakataa, sawa timu kama City ina plastic fans inayoifanya kuwa plastic club ila kama tunahitaji ubingwa tunapaswa na sisi kujichanganya na hao unaowaita plastics.

Ni ngumu kuamini timu mbovu kama United (naiita mbovu kutokana na mahitaji na kasi yao kusajili) ina-delay kufanya usajili ikipitwa na timu yenye ubora kama City. Tutafikia kipindi bidhaa zilizopo sokoni siyo tulizozihitaji ila tulizozihitaji zote zimebebwa na wapinzani.

Tulihusishwa na Ake sasa hivi ni dili lililokamilika kwenda City. Ukiachana na dili la Sancho na uzito wake United wana-delay kufanya usajili wa Center Back (left) na Striker.

Angalia unaowaita plastics ndio more favorable kubeba EPL, Chelsea kaingia sokoni na kashaondoka na Ziyech na Werner hizi ni sajili bora kabisa. Tukibaki kujifariji kuwa Chelsea na City ni plastics clubs tujiandae kuumia kila msimu kuona wakibeba makombe.
 
Hivi Solkjaer anahitaji Centerback ?
 
Hili suala la kwamba klabu yetu imezubaa kwenye mambo ya usajili hata mimi naliona sana.
Na hatuwezi kusema kwamba tunafanya hivyo kwa lengo lolote zuri kwa sababu hata bei tunazouziwa wachezaji kimsingi ni za juu.
Tunakua kama sio ''matajiri''....
Tunabembeleza mno...
Hatuamini sana katika msemo ''biashara ni asubuhi, jioni mahesabu''...
Hakika hii sio Giant mentality.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…