Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho alimaliza wa pili na akasema ni mafanikio makubwa Man Utd kumaliza katika nafasi hiyo, baadhi ya x players waliohojiwa wakati huo ni Ole, yeye alisema Man Utd ni club kubwa na hivyo nafasi siyo mafanikio. Sasa yeye kapewa timu na wachezaji anaowataka, kamaliza wa tatu huku akikimbia uwanja mzima na kuhubiri mafanikio makubwa aliyoyapata. Huyu ni kichekesho sana.
 
Mourinho tulishamfukuza bro mfuate huko aliko.

Ole at the wheel
 
I'm a Man Utd fan and completely against the idea to buy Grealish.

We need world class players kama kweli tunataka ubingwa.
Sijawahi kumuelewa mtu anaemuweka Grealish kwenye list ya wachezaji wa kununuliwa na United.

Huyu mchezaji yupo average sana. Na anacheza Aston Villa kwa sababu ana kiwango kidogo.
 
Tumefika nafasi ambayo Leceister walikuwa wametutunzia.

Chelsea wamebaki kwenye position yao waliokuwa wanaipigania.

Tukutane next season kwajili ya EPL Liverpool wajiandae kurudisha kombe katika jiji la manchester.
Nyie lengo lenu mlitaka kumaliza juu ya Chelsea..hongereni
 
Alisikika mlevi mmoja.
 
Kwaiyo unataka kubisha alichoandika mkuu lembu ..toa hoja ya maana sio unabwabwaja hapa.

#CFC
 
Bila kusahau mnaongoza kwa kupata penati nyingi
 
Kuna rumours kwamba UTD wanamtaka JAMES RODRIGUEZ wa madrid na wanajiandaa kuweka dau la £25MILL

MY TAKE; aje tu ila gharama isizidi £30mill maana tunahitaji squad depth.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…