Manchester United (Red Devils) | Special Thread

5 years Past Performance will never Guarantee your Team's next year future best Results
Ya nyuma inatuonyesha udhaifu na nguvu inayosababisha kufeli au kushinda, makosa yenu bado mnaendelea kama ilivyokuwa miaka 8 iliyopita ya kunnunua wachezaji ghali wasioendana na chemistry ya wachgezaji na kocha. Mkimsikia mchezaji ghali tu kama Sancho mnamkimbilia bila kuangalia kama ata fit-in au la
So "past is the key to the present" na ndio umuhimu wa historia inaingia hapo
 
Sijapendezwa sana na defence yetu kwenye hizi mechi za mwisho tumekuwa sio solid sana nyuma na hii inaweza kusahaulisha kazi nzuri iliyofanywa na defence yetu hapo kipindi cha nyuma,kitu ambacho sio fair

✓26 cleansheets in all competitions na ndo tunaoongoza barani ulaya msimu huu

Kuna namna tunataka beki zetu ziimarike zaidi ya hapa na kwa hili linaonyesha kuwa tunataka kuwa bora Uingereza na Ulaya na sio kupambana na Spurs,Arsenal na Leicester,maana kwa standard ya kawaida unaweza kusema tuna ukuta mzuri


Big shout out kwa;

1.De Gea
2.AWB
3.Lindelof
4.Shaw
5Maguire(c)
6.Brandon
7.Bailly

Improvement zaidi ndo kitu tunachokitaka next season
 
Halafu unamsikia Steve Mollel kaacha kuchunga ng'ombe huko anakuja kulalamika hapa tumebebwa
 
Vitu gani vinakuaminisha mwakani Man U atamaliza nje ya top 4?
 
Mkuu top 4 ni marathon...watu wanachojali ni Je umamaliza top 4 au la..hizi habari za sijui mmemuuza hazard sijui..WE DON'T CARE!! Kwani mlilazimishwa kumuuza!?????????????????
 
Yaani ulivyoandika "sijui fernandes" ni kama umemshusha hivi kwa sababu huoni mchango wake ukilinganisha na rashford

 
Lakini si unaona record ambazo zimewekwa na wachezaji pamoja na timu binafsi kwa mda mchache toka dirisha dogo la usajili lifungwe,,, Na ukiangalia baadhi ya hizo rekodi hazikuwekwa na kocha yoyote aliyekuja kuifundisha Man u tokea 2013. Sasa ni almost 7 years ndio tunaviona, , Na hicho ndicho kinatoa ishara ya kuwa tunaweza kurudisha zama zetu kwa misimu ya 2020's na kuendelea kama timu itaboresha zaidi kikosi
 
Alafu eti Harry Maguire ni beki anayeongoza ulaya kwa kuwa na Cleansheets 23 kwenye mechi zote alizocheza . Hii ni dhahiri kwamba Man u ikiboresha defence yao ,, Alafu Degea akarudi kwenye ubora wake kama miaka ya 2016 to 2018,,, hatutakuwa tunapoteza mechi kwa makosa ya ulinzi.
 
Halafu unamsikia Steve Mollel kaacha kuchunga ng'ombe huko anakuja kulalamika hapa tumebebwa


Halafu jana kapoteza Ng’ombe wawili,Kondoo wanne na Mbuzi sita kwasababu ya kushangaa jinsi tulivyopiga pasi za kufa mtu
 
Itoshe kusema Ameen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…