Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tumefungwa goli chache sana msimu huu kulinganisha na misimu miwili iliyopita halafu tunasema defence yetu mbovu ?
Mimi naona asajiliwe RB awe ana pambana na Bissaka na kuna mechi watakuwa wanapokezana kutegemeana na mpinzani..Kazi ya AWB defensively kabla ya corona break ilikuwa safi..shida moja ni yeye kupanda juu..Na RB huyu atakayesajiliwa awe ana uwezo wa kushambulia..Tungemtumia Dalot ila kuna kila dalili hii ni failed project
 
Mkuu huwezi kupata fullback ambaye ni complete kwa defending and attacking.

Hata Trent Anold defensively siyo mzuri kama Bissaka.

Kitu pekee cha kuboresha upande wa Bissaka ni kutafuta winger anayecheza deep mwenye kasi itaweza kumfanya acheze eneo dogo na akiwa relaxed defensively.

Kipindi Daniel James anacheza kulia Bissaka alifanya majukumu yake sawa sawa upande wa kulia kwa sababu Daniel James anaspeed na anaweza kucheza deep.
 
Mngekuwa wavumilivu na kumletea wachezaji aliokuwa anawahitaji kama ilivyo kwa Ole ndio alaumiwe.
Moyes alitaka apewe muda zaidi aishushe timu daraja ?

Alipewa timu imetoka kutwaa ubingwa halafu akashindwa hata kuingia top four unataka apewe muda afanye nini katika mazingira kama hayo ?
 
Hawawezi kuongeza zaidi ya wachezaji wawili
 
★Sizani ni Romero tu ka mind maana me mwenyewe nili mind kinoma kuona jamaa yupo benchi kwa akili yangu ninavyo ona yale magoli ha kipuuzi ya Bwana David De Gea yasingepenya kwa mlinda mlango huyu kuna muda nilikuwa mpaka naombea Sub ya Kipa asee
 
Mngekuwa wavumilivu na kumletea wachezaji aliokuwa anawahitaji kama ilivyo kwa Ole ndio alaumiwe.
Walau angeweza kuwatumia wale aliowakuta kumpa matokeo badala ya kulilia kina Ronaldo na Thiago Lacantara.

Timu ilikuwa na kila sampuli ya wachezaji halafu Moyes anasema hakuwa na wachezaji anaowataka ?

He can't be serious
 
★Upande wa kupanda kushambulia Luke Shaw na AwB sionagi utofauti wao wapuuzi hawa yani wanapanda kwa speed Cross itakayo tolewa pale Utopolo mtupu kama Sio kupigilia miguu ya wapinzani ni kuwapa Pass wapinzani Basi habari imekwisha wanashindwa kuiga Defenders wa team nyingine kweli asee
 
Mkuu sio kweli..
Embu angalia Madrid pale
Kushoto kuna MARCELO- marcelo anashambulia anakaba na ukija kijingajinga unapigwa chenga na matobo ya kufa mtu

Kulia; CARVAJAL
dogo anakaba fresh,ana mbio na anashambulia km kawa

So mabeki wenye uwezo wa kushambulia na kukaba wapo mkuu..ni swala la SCOUTING tu ili kuwatafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…