Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

article-2306147-1930961E000005DC-632_636x473.jpg



BJ weka comments hapa ... ..
Khe khe kjhe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 

article-2306246-192F0DA6000005DC-58_634x528.jpg




article-0-192F0D94000005DC-75_634x450.jpg



Know your place: Rio Ferdinand clashed with Gareth Barry
during the Manchester derby at Old Trafford




article-0-192F1E64000005DC-451_634x396.jpg



article-0-192EFDD1000005DC-523_634x482.jpg



Mpira ukiwashinda wanaanza vituko
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
article-0-0B82BAA000000578-64_634x400.jpg

Get up! Ferdinand took offence to Torres' dive
in the penalty area and the two clashed



Tor the res alipokuwa anaomba msamaha kwa mashoga ... ... .
khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeee
 
article-0-166D9CB3000005DC-175_634x404.jpg


Dawa ya Rio ... ..... ... .


article-0-193115BF000005DC-983_634x436.jpg



article-0-19311364000005DC-628_634x397.jpg


Kumbe ka
Rio hakakuanza jana
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wakuu wa ARS hebu mtafuteni Ngo ngo ngo asije akawa kazimia ana siku 5 hajaonekana ... .... ..
 
Man City wameshafanya Old Traford kama uwanja wao wanyumbani!! Kumbuka last year it was 6-1 and now 2-1!!!!!

Kwa hiyo United walivyoshinda mwaka jana zile 3-2 na mwaka huu pia 3-2 pale City of Manchester Stadium, hayo hakuyaona?!?
 
PhilJones9_33_620x_1707047p.jpg




Mashoga mambo yamewashinda
Khe khe khe khe khe khekheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee



aguero4-ANDY_1706943a.jpg


Nachikia ati
Nzi karudi .... ....

EPL siyo mbio za akina Bolt ni mbio za akina Haile! Nimeshakwambia, tunakuja Emirates na mtatupigia 'guard of honour'.
 
Subirini hapo tarehe 4 ya Mei, pale mtakapotoa 'guard of honour' kwa wababe wa ligi.

Nafikiri mmeshazoea vitu kama hivi...

MASHKINI NYIEEEE....Makombe mwishoni tunaangalia game by game..u were humiliated by US..the BLUES, then annihilated by MAchester City..Now, the Whole of England is BLUE...!!!
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
MASHKINI NYIEEEE....Makombe mwishoni tunaangalia game by game..u were humiliated by US..the BLUES, then annihilated by MAchester City..Now, the Whole of England is BLUE...!!! khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Chifu Mentor unaongea vitu gani? Kama tukienda game by game bado mtakuwa losers tu. Man City tuliwapiga 3-2 kwao; wao wametufunga 2-1 OT. Sasa kwa aggregate score inakuwa ni 4-4, lakini United wanaibuka wababe kwa away goal. Tukija kwa Chelsea,tuliwapiga hapo darajani 3-2, na tarehe 4 ya Mei mnakuja OT, uwezekano wa kupigwa tena upo.Sasa hapo unavyosema the whole of England is blue [/B] unaelewa unachokizungumzia?!?
 
Last edited by a moderator:
Man City wameshafanya Old Traford kama uwanja wao wanyumbani!! Kumbuka last year it was 6-1 and now 2-1!!!RVP kaja man Utd akutane na wazee wenzake Gigz, Rio, Scholes kula Penshen yake...Raha ya mechi bao tu...ushindi unashangaliwa mara moja tu...hayo mambo ya kombe mbwembwe tu!!!
RVP amekuja kuchukua kombe Manu baada ya kuona mmekuwa wasindikizaji miaka yote,baada ya kuona hamna ubavu wa kubebwa kombe mnaanza kusema kombe mbwembe kweli Mr Bean amewafanya vibayaHata sisi tulimfunga City kwao na Arsenal sikumbuki hata mara ya mwisho mlitufunga lini
 
MASHKINI NYIEEEE....Makombe mwishoni tunaangalia game by game..u were humiliated by US..the BLUES, then annihilated by MAchester City..Now, the Whole of England is BLUE...!!!
khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Wewe tulishakugonga na usubiri kugongwa tena,kitu cha msingi ukomae usije ukacheza UROPA league ukakosa hata kupata kocha
 
Chifu Mentor unaongea vitu gani? Kama tukienda game by game bado mtakuwa losers tu. Man City tuliwapiga 3-2 kwao; wao wametufunga 2-1 OT. Sasa kwa aggregate score inakuwa ni 4-4, lakini United wanaibuka wababe kwa away goal. Tukija kwa Chelsea,tuliwapiga hapo darajani 3-2, na tarehe 4 ya Mei mnakuja OT, uwezekano wa kupigwa tena upo.Sasa hapo unavyosema the whole of England is blue [/B] unaelewa unachokizungumzia?!?

Mlitufunga 3 -2 lini?

After that tuliwafunga ngapi?

then juzi tukawafunga ngapi?

the man city wakawafunga ngapi?

the hiyo 4 May ni future tense...ndo uelewe what i mean by THE WHOLE OF ENGLAND IS BLUE.

Loser,......
 
Wewe tulishakugonga na usubiri kugongwa tena,kitu cha msingi ukomae usije ukacheza UROPA league ukakosa hata kupata kocha

Historia historia historia....hata bibi kizee was once a very beautiful young lady!!!

THE WHOLE OF ENGLAND IS BLUE....:A S shade:
 
Baada ya kipigo cha majirani nalazimika kutoa lawama kubwa kwa Sir Alex kama ifuatavyo.

(1) Giggs hakustahili kucheza kabisa goli la kwanza lilisababishwa na yeye kupoteza mpira kwenye eneo letu la hatari bila sababu za msingi.Wakati mchezo ukiendelea alikuwa akitoa maelekezo kwa wachezaji wenzake kama kocha mchezaji.dakika 90 alizopewa na Sir Alex ilikuwa ni faraja kubwa kwa Man City kwani muda wote aliokuwa uwanjani Man Utd ilikuwa ikicheza na wachezaji 9 uwanjani.Hakuwa na msaada wa maana zaidi ya kupoteza mipira hovyo kila mara.

(2) Formation ya washambuliaji watatu Rooney RvP na Welbeck hakuwa na msaada wa maana kwasababu mashambulizi kutokea pembeni winger yanakosekana muda wote hata yakifanyika yanakosa nguvu.

(3) Manchester United ilipwaya sehemu ya kiungo na hili limekuwa tatizo la muda mrefu tangu Roy Keane aondoke Sir Alex ameshindwa kuliaddress vyema.Mara nyingi tunapokuwa tunacheza na timu yenye viungo wazuri box to box tunazidiwa.Mfano mechi na Man City tulipokuwa tunashambuliwa tulikuwa na wachezaji wachache kwenye goal la Man City utashangaa zaidi Man City ilipokuwa inatushambulia walikuwa na wachezaji wengi.Maana yake viuongo wetu wanakuwa wazito kwenda mbele kwa kuhofia mpira ukienda kwa adui tunaweza kufungwa.Kifupi Man Utd ilicheza kulinda isifungwe nyumbani na Man City walishambulia kwakuwa walijua hawakuwa na cha kupoteza.

Mwisho Man Utd lazima isajili kiungo wa kati ikitaka ushindani wa maana msimo ujao vinginevyo itapotezwa kama ilivyopotea dhidi ya Chelsea,Real Madrid na Man City.
 
Mlitufunga 3 -2 lini?After that tuliwafunga ngapi?then juzi tukawafunga ngapi?then man city wakawafunga ngapi?then hiyo 4 May ni future tense...ndo uelewe what i mean by THE WHOLE OF ENGLAND IS BLUE.Loser,......
Chifu, upo ngazi ama unanusanusa maji machafu? Maana ni kama huelewi ninachokisema na unachokiandika.Anyway, ngoja nikueleweshe.Wewe ulianza kwa kukejeli kichwa cha uzi kwamba, siku Man United sio tena hatushikiki bali tunashikika sana.Mimi nikakwambia, pamoja na hilo ulilolisema, United ndiyo tunaenda kuwa mabingwa wa EPL kwa mara ya 20.Wewe ukaja na stori kwamba,ubingwa siyo ishu, kinachoangalia ni rekodi ya game to game (kumbuka chanzo ni matokeo ya juzi dhidi ya City). Na baadaye ukaja na kusema kwamba kwa rekodi hiyo, Chelsea na City waliifanya United vibaya na hivyo kupelekea Uingereza nzima kuwa bluu.Mimi nikakuuliza, kwani umesahau matokeo ya awali ya msimu huu? Nikianza na City, nikasema: City tuliwapiga kwao 3-2 kwa RvP kufunga bao ushindi kwa freekick katika dakika za mwisho mwisho. Hivyo tukienda kwa mtazamo wa game to game, United tunaibuka kidedea kwa goli la ugenini, kwao wao City walitufunga 2-1 pale OT. Sasa hapo ubluu unatokea wapi? Kumbuka na bado tunaongoza ligi kwa pointi 12 zaidi ya City!!Nikaenda kwenye upande wa Chelsea, nikasema: Chelsea tuliwafunga 3-2 pale darajani (tarehe 28 Oktoba 2012) katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi, na goli la Chicharito katika dakika ya 75. Na game ya mzunguko wa pili ndiyo inapigwa tarehe 4 ya Mei pale OT. Sasa huo ubluu unatokea wapi?Kwa maana ukija na mtazamo wa game to game, bado Chelsea na City kwa United ni nyanya msimu huu. Pia ukija na mtazamo wa historia, bado timu hizo ni nyanya kwa United.Ukija kwa mtazamo wa wingi wa mashabiki na wapenzi, timu hizo zinaendelea kuwa nyanya.Hata kwa mtazamo wa utajiri wa klabu, bado mnaendelea kuwa nyanya.Hata kwa rekodi katika EPL, UCL, FA, World Clubs etc. bado timu hizo ni nyanya kwa United.Vile vile hata kwa ubora wa timu katika Ulaya (United ni ya 4 baada ya Barcelona, Real Madrid na Bayern Munchen), bado timu hizo ni nyanya.Sasa huo ubluu katika Uingereza nzima unatokea wapi? Chifu, hizo timu zenu huwezi kuziweka daraja moja na United; hizo bado ni timu ndogo sana - wee clubs - katika kila kitu kwenye soka.
 
Mwisho Man Utd lazima isajili kiungo wa kati ikitaka ushindani wa maana msimo ujao vinginevyo itapotezwa kama ilivyopotea dhidi ya Chelsea,Real Madrid na Man City.
Chifu, nakubaliana na uliyoyasema awali; ila shida yangu ni kwenye hitimisho. Kumbuka Chelsea na City tumewafunga kwenye games za raundi ya kwanza. Tena msimu huu katika raundi ya kwanza tulizifunga timu zote za "top four" (Liverpool, City, Arsenal na Chelsea). Unajua kwa nini, tulitumia mfumo wa 'diamond' (4-1-2-1-2); ambapo sehemu ya kiungo ilikuwa imara sana. Cleverly, Carrick, Ando na Shinji walitumiwa wote kwa mara moja. Ila ni ukweli kwamba United inahitaji namba 6 wa kiwango cha dunia. Huyu atakuwa msaada kwa Carrick, ambaye ametumika sana msimu huu. Ila kwa ujio wa Falcao, sijui kama United watanunua namba 6 wa kiwango cha dunia.
 
Back
Top Bottom