Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Leo kidogo umeongea point SAF amechemsha sana kumchezesha GIGGS tena dakika 90,JUDA atakuja kukubaka pale ImiratiYaani leo Nzi, BJ, Belo Manda et al wamepotea kabisa au ndio wameanza kuwatosa mashoga? Hivi Giggs na uzee wote ule anataka kucheza na shillingi chooni? Mfarisayo rudi bana .. ...... ..... .. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee huyo Judas anawatoa ..... .... .... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee Lete matokeo Mfarisayo ingawaje ni goli la mkono kubebwa kama kawa ... .... ....