Wewe jamaa bana,Nasikia pamoja na yeye kuja January na kucheza nafasi ya kiungo lakini kamzidi magoli box to box, Brazilian ginger pressing striker boby Firminho (kwa Uingereza)
Magoli ya Ureno hatujayahesabu
Wewe jamaa bana,
Bruno Fernandes is nothing without Penalty mbona huelewi.
mmezidiwa tu, hakuna cha mbinu yz Southampton au nini. Goli la kwanza nafasi ilitengenezwa na Giroud akamalizia superb, goli la pili kipa wenu kabet nasi na goli la tatu Maguire kabeti nasiTimu yetu ilikuwa na fatigue kubwa sana kibaya zaidi siku hizi kwenye defence toka lockdown naona Lindelof yuko vizuri zaidi kuliko wengine.
Mistakes mbili za Brandon na Fred zimetucost sana kufungwa na chelsea.
Lampard katumia mbinu ile ile aliyotumia kocha wa Southampton katuadhibu.
Hata siku ile Southampton alituzidi kwa hiyo haikuwa mbinu ile ?mmezidiwa tu, hakuna cha mbinu yz Southampton au nini. Goli la kwanza nafasi ilitengenezwa na Giroud akamalizia superb, goli la pili kipa wenu kabet nasi na goli la tatu Maguire kabeti nasi
Kubali kuzidiwa uwezo, na huo ndio uungwana kwenye sokaTimu yetu ilikuwa na fatigue kubwa sana kibaya zaidi siku hizi kwenye defence toka lockdown naona Lindelof yuko vizuri zaidi kuliko wengine.
Mistakes mbili za Brandon na Fred zimetucost sana kufungwa na chelsea.
Lampard katumia mbinu ile ile aliyotumia kocha wa Southampton katuadhibu.
Cpt magwaya ktk ubora wakeAcha tulale na goli pendwa la kaputeni..View attachment 1511281
Hii timu mnashida mahali, comments zenu zinaonesha km mmebahatishwa,wkt ubao umesomeka 3,yaani zote zimetumikaLeo tumecheza chini ya kiwango sana, wachezaji hawakuwa na siku nzuri kazini basi itoshe kusema #GGMU
Labda mseme K Vant ilikuwa na alcohol sana wachezaji waliopewa kabla ya mechiHata siku ile Southampton alituzidi kwa hiyo haikuwa mbinu ile ?
Visingizio! Kwan Chelsea hajaweka nguvu kubwa top 4? Hehehe mnaonea timu za bottom 10 mnasema mpo vizuri! Tulia wanaume wafanye kazi yao.Nadhani Ole kaweka nguvu kubwa top 4.
jamaa ni msumbuf kweliKuna bweha flani alikuwa anasumbua sana majukwaa ya watu sahivi naona ameufyata
Mzee wa takataka upo wapi mzee baba.
Kipa wa dunia huyo,japo hana hadhi ht ya kushindana na kipa wetu namba mbili, kweli Kepa ana haki ya kuanza Spain kwa utopolo huuDe Gea agombezwa kwenye Twitter View attachment 1511290
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app