Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimeambiwa Mfarisayo ame-log off ... .... ... .... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
article-2304058-192EF3A0000005DC-326_964x386.jpg



Jamani vipi matokeo ... ....
mbona mnakuwa wachoyo hivyo?
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

u 1- c 2
 
Picha zote hizo zilizowekwa toka mwanzo wa mechi hujaona hata moja?

Asante sana mdau, napenda kujibu swali lako la nyongeza kama ifuatavyo;
mwanzo niliziona ila kwa sasa nilikua namuomba Wacha1 arushe za sasa dakika za majeruhi.
Asante sana muheshimiwa mfarisayo
 
Last edited by a moderator:
article-2304058-192EE25D000005DC-958_634x425.jpg


Noisy neighbours: City go wild as they celebrate Milner's strike





article-2304058-192EF855000005DC-282_634x456.jpg


Stunner: Aguero celebrates his goal
 
Manchester-United-v-Manchester-City-Roberto-M_2926700.jpg



Mancini akimtolea uvivu Webb . ... ...


Manchester-United-v-Manchester-City-James-Mil_2926705.jpg




De gea ...








 
Mpiraaaa umekwishaaaaaa!

Kwa matokeo haya man u anabaki na point zake 77 akiwa amebakiza mechi 7 wakati man city ameongeza point 3 na kufikisha point 65 akiwa na mechi 7 mbele. Hii inanipa raha kwa kufanya ligi kuu izidi kua na ushindani zaidi ikiwa ni pamoja na kumzuia sir Alex kujitangazia ubingwa mapema.

Changamoto kwa man u ni kwamba wakizidi kubanwa zaidi mechi 7 zilizobaki kuna uwezekano wa kupokonywa tonge mdomoni
 
Manchester-United-v-Manchester-City-United-de_2926706.jpg




Mashoga .... .... baada ya kula mkong'oto



Manchester-United-v-Manchester-City-Sergio-Ag_2926722.jpg



Aguero akifanya vitu vyake ... ....



Manchester-United-v-Manchester-City-Sergio-Ag_2926723.jpg



Thats the goal .. ....


Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Red Devils wamekua White Saints siku hizi ni vichapo mfululizo, poleni watani....:shut-mouth:
 
Poleni sana majirani that is aguero bana.. wapi mfarisayo BelindaJacob Nzi mtotowamjini Mc Tilly Chizenga

...Kichapo tu!

Kazi uliyotumwa lazima uifanye lazima uwakung'ute hao pretenders J3, chi unajua chiri yao imefichuka .... .... ... .brown envelopes zimeleta utata pale FA chacha wanataka ati kujisafisha ... ... ... Calito lazima afanye kazi yake ... ... .. usimwambie ntonto wa shamba na ngo ngo ngo, wala usimwamini BJ. Wale wengine akina Belo, Nzi nk ni wapiga zumari tu wala wasikusumbue khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee



Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom