Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wewe timu ya kwanza kushabikia ni Namungo.
 
Man kuongelewa na media nyingi kwa sasa pamoja yakuwa hajabeba ubingwa ni kwasababu ya mambo yanayofanywa na Wachezaji na club kwa ujumla . Yaani tokea dirisha dogo la usajili kama wewe ni shabiki wa soka angali-a rekodi zilizowekwa na timu na wachezaji toka kipindi cha 2013 ambazo hazikuonekana kwa mda mrefu, sasa ndio ujue kwanini hawakosi cha kuongelea. Yaani media yoyote isipoongelea MAN U, uchumi na kipato chao kinashuka
 
Kwahiyo wale pundits wote wanaonekana kwenye TVs, ni ex-Players wa Man u.??
Una uelewa mdogo sana.
Hata Skysorts,Bein sports Abudhabi, BT Sport wanaongelea Man U. Yaani MAN U ni kubwa ulaya kuzidi soka. Media nyingi bila Man U haziwezi kufanikiwa kiuchumi
 
No wonder unafurahia soka analocheza Mourinho siku hizi
 
Sasa best front three msimu huu ni ipi?

Jaribuni kutumia akili kidogo
 
Ndoa yako mpya na Totenham haiwezi kukufanya unawiri mkuu, utakufa kwa wivu wa mafanikio mapya ya x wako.
 
★Hatutegemei mtu sie ila ukae ukijua kuwa lazima Chelshit mchezee goli zenu zakutosha maana Sizani kama LiverPunga watakuwa tayari kupokea Ubingwa wao (Kombe) huku wakiwa wamefungwa Never
 
★Our business is our Business en none of your Business mkuu can you just shut the f****up and enjoy the game
Ukiona timu inategemea wachezaji wa timu pinzani wawe majeruhi ndio washinde, basi hiyo timu bado ni underdog.
 
Hapo hamjasajili??????


Mlizuiwa au mmefungiwa kusajili???
 
Munashangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…