GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,381
Hii inaenda mpka siku ya mwisho, hata Spurs akishinda, na Man u akashinda.Ile mechi dhidi ya Southampton dah imetuharibia sana, ila Spurs against Leicester lazima Special One awe mzalendo
Mi shida yangu ni West ham hiyo Alhamisi ijayo.
Mechi ya FA, pumzisha key players.
De gea
,AWB, Matic, Pogba, Bruno, RaShford, Martial)
FA haina maana tukikosa top four.
Usisahau Ckelsea nae atamfuata liver
Hapo lazima mmoja au wote watafungwa
Naamini Top 4 tunaingia kabla ya kukutana na Leicester
West Ham tumpige goli kuanzia 3 ili Leicester akifungwa mechi ya mwisho draw tu itatutosha
Hii inaenda mpka siku ya mwisho, hata Spurs akishinda, na Man u akashinda.
Leicester bado ana nafasi through GD , akimfunga United Mechi ya Mwisho.
Mimi naomba tuu Man u ashinde mechi zake( vs Westham& Leicester)
Haya mambo ya kuombea timu pinzani ifungwe muda wake umeisha.
Mimi na assume Leicester na Chelsea watashinda games zao zinazofuata.The Fox wakifungwa na Spurs, Utd wakaifunga vizuri tuu The Hammers, mechi ya mwisho sioni kama Leicester anaweza kutufunga
Kuna sehemu nimesema mechi ya muhimu kwa Utd ni ya mwisho, tushinde tuu kusiwe na matokeo mengine
*Hakuna haja kuizungumzia sana West Ham, maana inatakiwa mechi hiyo iwe na matokeo mamoja tuu
Ww kiazi matokeo nadhani unayoDear Zaha,
Of crystal palace today l bestow upon you the power of CR7 , the skills of Messi , the scoring ability of Pele and even the bumbum of Hazard. l give to you the grace of Arsenal who destroyed the dream of 100 points last night.
Go forth and be successful in your pursuit to move away from relegation zone. I just love this guy not for anything but as a football loving fan.
Kila la kheri Crystal PalaceView attachment 1508829
Itapendeza tukienda Final,Kwa maoni yangu mechi ya muhimu zaidi ni ya mwisho dhidi ya Leicester away
West Ham tunatakiwa kuwafunga hata wakina Lingard wakicheza
Ila kumbuka Leicester mechi ijayo yupo away dhidi ya Spurs, Chelsea away kwa Liverpool
*FA sio mbaya tukichukua pia mkuu, timu kubwa lazima iwe ina win makombe
Huyo kiddo reborn ndo wewe ulikuwa unaulizia GIF nini?
Chelsea wanaweza kututoa pia.Kwa maoni yangu mechi ya muhimu zaidi ni ya mwisho dhidi ya Leicester away
West Ham tunatakiwa kuwafunga hata wakina Lingard wakicheza
Ila kumbuka Leicester mechi ijayo yupo away dhidi ya Spurs, Chelsea away kwa Liverpool
*FA sio mbaya tukichukua pia mkuu, timu kubwa lazima iwe ina win makombe
Usimwongelee Leicester pekeeThe Fox wakifungwa na Spurs, Utd wakaifunga vizuri tuu The Hammers, mechi ya mwisho sioni kama Leicester anaweza kutufunga
Kuna sehemu nimesema mechi ya muhimu kwa Utd ni ya mwisho, tushinde tuu kusiwe na matokeo mengine
*Hakuna haja kuizungumzia sana West Ham, maana inatakiwa mechi hiyo iwe na matokeo mamoja tuu
Imagine maguire akutane na atalanta c mtapigwa 10 nyie .kwa nn msibaki europa na msimu ujao wakati mkitafakari jinsi ya kutengeneza kikosi kikali.kwa nn mnazitafuta aibu kwa nguvu kubwa hiv
Et manyumbu????
Hapana huko sijajisajili naingia kama anonymous tu
Usisahau Ckelsea nae atamfuata liver
Hapo lazima mmoja au wote watafungwa
Naamini Top 4 tunaingia kabla ya kukutana na Leicester
West Ham tumpige goli kuanzia 3 ili Leicester akifungwa mechi ya mwisho draw tu itatutosha
Chelsea anacheza na Liverpool Anfield, the best results anayoweza kupata ni draw.
Keep that in mind.
Mbeleko za VAR hazitoshi sasa mnataka Mourinho awebebe??Ile mechi dhidi ya Southampton dah imetuharibia sana, ila Spurs against Leicester lazima Special One awe mzalendo
Kama Liverpool iliweza kufungwa na Arsenal pamoja na Watford basi wanaweza kufungwa na chelsea vizuri tu.Huu ndio ukweli, japo tukiwa na nyie mnatupiga mkwala kwamba mtawaachia (kwa Ulaya hiyo haijawahi kutokea)
Lakini Liverpool hawezi kurudia makosa especially baada ya kipigo alichopata kwenye mechi ya Arsenal
Liverpool kwa msimu huu unaoishia bado hajafungwa Anfield, points pekee alizopoteza ni dhidi ya Burnley tena sio kwa kufungwa bali kupitia draw
Liverpool kashindwa kupata rekodi ya kushinda ligi akiwa na points nyingi zaidi (100+), lakini wanataka kufikia idadi kubwa ya points katika uwepo wa Liverpool, nazo ni points 99.
Tukiacha upande wa Liverpool, najaribu kuangalia hiyo timu ya kuifunga Liverpool siioni, naona utopolo tu wa akina Tamy na Giroud
Hata Spurs anashida zake... Tunapiga West Ham + Leicester tunajaa Big 4Mbeleko za VAR hazitoshi sasa mnataka Mourinho awebebe??
Hii ndiyo inatakiwa.Kama Liverpool iliweza kufungwa na Arsenal pamoja na Watford basi wanaweza kufungwa na chelsea vizuri tu.
Liverpool sasa hivi hawana cha kupoteza zaidi ya kutengeneza record tu hivyo wachezaji wote wako relaxed sana uwanjani kuliko mwanzoni walipokuwa wanatafuta ubingwa.
Kitu cha msingi tunapaswa tushinde mechi zetu zote bila kujali matokeo ya Chelsea na Leceister City
Kama Liverpool iliweza kufungwa na Arsenal pamoja na Watford basi wanaweza kufungwa na chelsea vizuri tu.