Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,857
- 89,753
lingard anauzwa hachezi tena.
nipe live streaming link mkuu.
Naangalia kwenye TV mkuu
lingard anauzwa hachezi tena.
nipe live streaming link mkuu.
Crystal Palace vs Man Utd round 36 - season 2019/2020team. msaada wa live streaming link
Weka pichaNdio
Kuna mitimu ikikutana na sisi inacheza kama inapmbania kuingia top4,
Weka picha
Crystal Palace wananiharibia usingizi, Zaha anajiangusha badala ya kufanya kazi.
Hahaaaaa mtu wako anaingiaHii mechi tunafungwa kama ikitokea Lingard akaingia
Kale kajamaa kana gundu sana kubabake.....bure kabisa

Hahaaaaa mtu wako anaingia![]()
Cool. Your efforts appreciated.Kule ninapotolea GIF pamezingua yaani unaziona GIF kama hiviView attachment 1508936ila ukizifungua hazionekaniView attachment 1508937