Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkate mshahara tu mkuu,
 
watakula wapi ndugu zake me nataka akili kosa kuwa "Mimi OLE ni chanzo cha hilo goli nilifanya upuuzi wangu Samahani"
mbona fresh namkaushia kuliko kujifanya kosa hajalifanya yeye tena hajui tu na Raia wangekuwa Dimba jana wangempiga hata Bomu sio kwa hasira za tulio toa 500/= Banda umiza Je ambao wamelipa mkwanja mrefu
unaweza kuniga mtu kabisa★
Mkate mshahara tu mkuu,
 
Sub iliyobaki ni ya kipa kama sikosei, Maana walioingia walikuwa ni Brandon, James, Fred na Scoty... Ya 5 ndio ya kipa
Sub ni tano, bila kujali nafasi. Ila, kwenye hizo sub, zinafanyika kwa MIKUPUO MITATU, ili kuepuka kupoteza muda. Ole, alishatumia hizo nafasi tatu, kwa kuwaingiza wachezaji wanne. Ukiwaingiza wachezaji watatu kwa vipindi vitatu tofauti, huruhusiwi kuwatumia hao wawili waliobaki.
 
Sawa mkuu
 
Sub iliyobaki ni ya kipa kama sikosei, Maana walioingia walikuwa ni Brandon, James, Fred na Scoty... Ya 5 ndio ya kipa
Sio necessary hiyo sub iwe ya kipa..hakuna sheria hiyo..

SHERIA INASEMA UTARUHUSIWA KUFANYA SUB 5 lakini katika VIPINDI VITATU TU! na ukiangalia jana tulitumia vipindi vyote vitatu so ikala kwetu.
 
Ndio maana katika maelezo yangu nilikuwa nasema nadhani, sikuwa nina uhakika, nilikuwa najaribu kutafuta maelezo ya kilichotokea
Sio necessary hiyo sub iwe ya kipa..hakuna sheria hiyo..

SHERIA INASEMA UTARUHUSIWA KUFANYA SUB 5 lakini katika VIPINDI VITATU TU! na ukiangalia jana tulitumia vipindi vyote vitatu so ikala kwetu.
 
Dah

Mwaka huu nafasi ya sita inanukia nukia kweli kwa hii timu hahahahhhhahahaha
 
Hizi mbanga zikishindaga gemu tatu zinaanza kujitabiria kabisa ubingwa hahaha ..sasa ivi zinajipa uwakika wa nafasi ya tatu utasema zimekatia hati miliki iyo nafasi
 
Ndugu zangu wa Manchester United mmeshindaje??? Mnajisikiaje na hali zenu.
 
habari njema.......common Inter milan

Alexis Sanchez has created 10 chances in the match vs Torino.
Only 3 players created more chances in a single Serie A match than the Chilean since 2004/05 (since Opta collected this kind of data)

11 Diamanti (May 2013)
11 Pizarro (Nov 2011)
11 Cassano (Oct 2008)
 
Huyu mtu tulitapeliana sisi na nyinyi alafu wote tukawatupia huko seria A kama tuliambizana vile,

Aiseeeh sisi wabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…