Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Mimi siombi msaada, wewe tafuta rekodi yako (100+ points) na utunze heshima yako
Na mimi napambana kwenye game zangu
Nafikiri pressure ya kudhamiria kuingia nafasi ya 3 imewapotezea utulivu wachezaji. Pogba (afadhali ametolewa), Lindelof na Bruno wote wapo nje ya mchezo leo.
usiku mwemaSina shaka umeshagundua nani mpuuzi kati yako na huyo jamaa
man u were not prepared for this kind of disruptive approach. a typical mourinho style.
Tumecheza kwa presha kubwa kpnd cha kwanza naamn 2nd half tutatulia n ushnd upo
Nafasi yetu ni ya tano tu na sub za Ole leo zimefail
Nakuambia, wiki hii mpaka tar 22, Manure watapiga magoti Anfield wakiomba msaada hata kwa kuuza uhuru wao kama wanavyofanya wanasiasa wakati wa kuomba kura.Hahaha, hatuna shida na record kwa sasa. Tulikuwa tunataka ubingwa tu.
Inatosha.
Namwona Klopp akipanga under 23 siku hiyo, Chelsea washindwe wenyewe tu.
Hahaha, hatuna shida na record kwa sasa. Tulikuwa tunataka ubingwa tu.
Inatosha.
Namwona Klopp akipanga under 23 siku hiyo, Chelsea washindwe wenyewe tu.
HahahahahahahahahJuzi baada ya Sala kuulizwa kuhusu Golden boot anasema let us see game by game
Kati ya vitu ambavyo mameneja au wachezaji wanavitamani lakini wanajifanya kama hawavitaki ni records
Liver akipigwa, hata Wolves au Norwich wanaweza kumnyoosha Chesi, timu yenyewe tia maji tia maji
Nakuambia, wiki hii mpaka tar 22, Manure watapiga magoti Anfield wakiomba msaada hata kwa kuuza uhuru wao kama wanavyofanya wanasiasa wakati wa kuomba kura.
Don Clericuzio msiwasikilize hao, wakishapata wanachotaka MDOMO unakuwa mkubwa sana
Manure tia mbolea tia mbolea hamna kitu pale la sivyo mngekuwa juu yetu siku nyingi sanaJuzi baada ya Sala kuulizwa kuhusu Golden boot anasema let us see game by game
Kati ya vitu ambavyo mameneja au wachezaji wanavitamani lakini wanajifanya kama hawavitaki ni records
Liver akipigwa, hata Wolves au Norwich wanaweza kumnyoosha Chesi, timu yenyewe tia maji tia maji
Juzi baada ya Sala kuulizwa kuhusu Golden boot anasema let us see game by game
Kati ya vitu ambavyo mameneja au wachezaji wanavitamani lakini wanajifanya kama hawavitaki ni records
Liver akipigwa, hata Wolves au Norwich wanaweza kumnyoosha Chesi, timu yenyewe tia maji tia maji
Mashabiki wa Chelsea wanamuita "LEGEND" sio mchezo jamaa alivyo bouncer huo mpira ni lazima ungeingia ndani tu!!
Ralph Hasenhuttl sidhani kama atadumu pale southampton kwa zaidi ya mwaka mmoja .....Ila game yenu dhidi ya Crystal Palace ndiye mwamuzi mkubwa, mkishinda hiyo nina uhakika top 4 mnaingia.
Maana mna game na Leicester ambao kwa sasa wanafungika.
Leicester ana game na Sheffield, Tottenham and then Man United.
Hatoboi.
Ralph Hasenhuttl sidhani kama atadumu pale southampton kwa zaidi ya mwaka mmoja .....
southampton wameimarika sana kiuchezaji hususani pressing na balls won in the opposition's side
muda wote nilikuwa natetemeka (walitukamata tokea dakika ya kwanza)