Aje kama Backup.Kumuweka au kutomweka benchi mtu pale Man Utd itategemeana na mchezaji gani atakayekuwa kwenye kiwango cha juu
Lakini jambo la uhakika, Grealish akipewa nafasi atachangia kuliko Lingard na Pereira, Grealish akisajilowa atawapa Pogba na Fernandez ushindani mkubwa wa namba kuliko Lingard na Pereira.
Pia Grealish atakuwa option kubwa kwenye rotation ya wachezaji au injury ikitokea kuliko ilivyo kwa Lingardinho na Pereira.
Leo inabidi hata wachezaji wangooke jino ili tupate point 3..Must win game kwa kweli
Nilisema kuwa we are far a best team kushinda Chelsea na Leicester na nafasi yetu ni ya tatu and not otherwise..Tukifanya yafuatayo,msimu huu utakuwa umeenda vizuri kiasi;
✓Tukimaliza nafasi ya tatu
✓Tukibeba Europa League
✓Tukiingia Fainali ya FA
GGMU..Tukutane saa nne usiku
Hahahaha Bruno ameshaleta uchawi kutoka ureno.Sasa hivi mmekuwa wa moto mpaka nakosa cha kuja kukoment kwenye jukwaa lenu.
Ila najua ni upepo tu wa kumalizia ligi, msimu ujao utakapoanza Pogba atamroga Fernandes na hali itarudi kama mwanzo.
Hahahaha Bruno ameshaleta uchawi kutoka ureno.
Hahahahha, Pogba now hana madhara. Kila mtu ni Bruno tu. Pogba makes attention naona katulia kama wakala wakeDah, huyu jamaa sijui itakuwaje tu. Maana naona kama kasababisha kelele zirudi mtaani.
Kulikuwa kumetulia na amani ilikuwepo.
Nasubiri Pogba aanze kumshauri mambo ya kulilia mishahara na kuhamia Madrid au Juventus.
Sure thing.Tushinde tu mechi zetu, wale wanaotegemea mgongo huu umeshamwagiwa upupu.View attachment 1505353
Leo tunarudi kwenye nafasi yetuKuna mdau mmoja alisema Man u hatuna haja na nafasi ya nne , sisi tunataka ya 3, na sasa naona kama mambo yanakuwa kweli
Weee jamaa konyo mno*Mipango kazi ya united*
Zilibaki point tano tukamtuma kocha wetu wa zamani David Moyes akawalamba tatu Kama jezi Yao ilivyoandikwa3
Zikabaki point 2 tukamtuma Wilfred zaha kijana wa nyumbani alielelewa katika mikono salama ya babu Alex Fergie akafanya kazi yake Ila kipa hakua vizur akaruhu goli tatu wakatoka na ushindi wa goli 3 kwa mbilitukamuuliza zaha vp kijana wetu ? Akasema "Mimi nimefanya kazi mlionituma"nimemtungua kepa Alizabuliwaga shida kipa wetu ndio karuhusu wao kufunga "
Tukasema kumbe tatizo kipa?
tukamcheki kijana wetu Dean hunderson tukamwambia "Dean umekula Sana ugali wetu na kukomba masufuria ya ukoko hapa OT Sasa hakikisha wale wajinga hawakufungi hata goli mojaakasema sawa wakuu mi nitafanya kazi yangu hawatogusa nyavu na kazi iliyobaki nitamuachia "kipara"UCHEBE" atamaliza
Basi jezi Yao ikajibu maombi wakala 3 bila
*NB .namalizia ukitaka kuifunga Chelsea kirahisi wewe weka neno united kwenye jina la timu yako ,west ham united , sheffield united ,Newcastle united wanaiogopa*