Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Nionyeshe ukali ulio uona hapo Mkuu??? afu chunguza nilicho ki attach kinatakiwa kijibiwe vipi na nimejibu vP!!! ★
Sanaa yake yakipuuzi(niambie sanaa gani uliyomaanisha)....hatuli viboga(nitafsirie kauli hii)
 
★Njoo PM nikueleweshe maana nazani umeelewa kabisa ila kiburi tu kuwa nimetumia:-
Sanaa=...........
Kiboga=..........
Au wewe ulitaka nitumie maneno gani mbadala wa hayo???★
Sanaa yake yakipuuzi(niambie sanaa gani uliyomaanisha)....hatuli viboga(nitafsirie kauli hii)
 
GGMU
Leo tushinde hata kwa goli moja jamani..we really need that place na tukishaifikia hatuchomoki ng'o!

Pia tuna FA na vibonde wetu chelsea..
Europa league

Kuna uwezekano wa kumaliza top3 na atleast 1 TROPHY this season.
GGMU GGMU GGMU
 
Leo inabidi hata wachezaji wangooke jino ili tupate point 3..Must win game kwa kweli

Nilisema kuwa we are far a best team kushinda Chelsea na Leicester na nafasi yetu ni ya tatu and not otherwise..Tukifanya yafuatayo,msimu huu utakuwa umeenda vizuri kiasi;

✓Tukimaliza nafasi ya tatu

✓Tukibeba Europa League

✓Tukiingia Fainali ya FA

GGMU..Tukutane saa nne usiku
 
Kumuweka au kutomweka benchi mtu pale Man Utd itategemeana na mchezaji gani atakayekuwa kwenye kiwango cha juu

Lakini jambo la uhakika, Grealish akipewa nafasi atachangia kuliko Lingard na Pereira, Grealish akisajilowa atawapa Pogba na Fernandez ushindani mkubwa wa namba kuliko Lingard na Pereira.

Pia Grealish atakuwa option kubwa kwenye rotation ya wachezaji au injury ikitokea kuliko ilivyo kwa Lingardinho na Pereira.
Grealish atamuweka nani benchi?


Labda aje akitokea benchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…