Manchester United (Red Devils) | Special Thread

SANCHO, MAN UTD IMEISHA HIYOO




MANCHESTER United imeandaa ofa ya Pauni 50 milioni ili kuhakikisha wanaipata saini ya winga wa Borussia Dortmund, Jadon Sancho, ambaye ana thamani ya Pauni 100 milioni kwenye mkataba wake wa sasa unaotarajiwa kufikia tamati mwaka 2022.
Suala hilo limeifanya Dortmund kuanza kutafuta mbadala wa mchezaji huyo kwa kuwa wanaamini United inaweza kufanikiwa kutoa kiasi cha fedha wanachohitaji. Inaelezwa kuwa Dortmund huenda ikawa tayari kupokea Pauni 50 milioni ikihofia kumpoteza bure wakati msimu ujao utakapofikia tamati.
United imekuwa ikiifuatilia saini ya mchezaji huyo kwa muda mrefu ambapo wamekuwa wakipambana na Real Madrid wanaotajwa kuwa kwenye mpango wa kuhakikisha wanaipata saini ya fundi huyo. Sancho (20), amekwishaweka wazi kuwa anatamani kujiunga na United dirisha lijalo ikiwa makubaliano kati ya pande hizo yatafikiwa.
 
•••••MANCHESTER UNITED Inavyojadiliwa kwa sasa unaweza kusema

imebeba
EPL
SERIA A
LA LIGA
UEFA
COPA AMERICA


kumbe tunaomba Leicester na chelsea wapoteze game zote zilizobaki angarau tupate kanafasi ka kushiriki UEFA

ila yote kwa yote Manchester united ni kubwa kuliko FOOTBALL
ndio maaana hata chelsea wamesahau kua kipa wao karuhusu magoli mangapi hadi sasa ila wanajua asisst na magoli ya BRUNO na GREENWOOD

MANCHESTER UTD ni kubwa jamani
 
Kwani hujui man utd ndio team kubwa na yenye mashabiki wengi duniani kitu kidogo kwenu huku kikubwa sababu team inapendwa Sana
 
Nmekuwa nkiwaambia watu hii maneno, man U ni zaidi ya tm ya mpira.
 
Man U imekuwa kama Westham kwenye soko la usajili
 
Here to help.
Man Utd vs Liverpool, head to head record.
Chelsea vs Man Utd, head to head record. View attachment 1503276View attachment 1503278
Hii record fans wengi huwa hawaijui wanadhani man u ni ya mchezo mchezo ningekuwa jukwaa la wahuni ningetumia kauli nyepesi kueleweka but itoshe tu kusema kwamba Man U kafunga mara nyingi tm zote England, inauma ila huo ndiyo ukweli na anayebisha apite mbele na tm yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…