Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_20200709-230601_All%20Goals.jpg
 
Ilikuwa ni Direct free kick to Aston vill.........Top 4 inatafutwa kwa mgongo wa Rose Muhando
 
★Ila jamani Mason Greenwood anikosha Roho jamani si kwa Magoli haya hata majuzi nilisema ukiona Greenwood kapiga bicycle jua kimewaka Golini hawakuamini hembu ona sasa.
Jamani hum jukwaani mwenye Mapenzi na Manchester United na anakatoto ka kike atoe zawadi kwa Huyu bwana Mdogo
 
Manchester United have been awarded 13 Penalties in the Premier league this season.
No team has ever been awarded more in a single season.
 
★sasa we Jamaa kwakutizama kwako tukiachana na hiyo chuki yako na Manchester United ulitaka akishapiga hiyo chenga Bruno Fernandez ulitaka akanyage wapi kama sio hapo alipoweka Mguu huyo Beki,Tukiachana na hivyo vifaa vya VAR vinatunzwa pale OT ulitaka vifanye maamuzi gani
Nyumbu nyie, nyie endeleeni kubebwa tu siku mkikutana na wanaume ndio mtajuta kenge nyie
 
Manchester United have been awarded 13 Penalties in the Premier league this season.
No team has ever been awarded more in a single season.
We jamaa game ya Spurs mnashinda mbili moja unaikumbuka? Mane alipata penalty ya ajabu
 
Back
Top Bottom